Pre GE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sugu anapewa pesa nyingi mnooooo Zanzibar vikao vinafanyika kila Mara na kiunganishi ni Salim
Msigwa kila siku anafata pesa kwa muuza maziwa wa Iringa wamefanya Chama kimekuwa cha hovyo mnooo
Mpaka sasa ipo hivi
Timu msigwa inaongozwa na Lisu Heche Lema Wenje na Kigaila
Timu Sugu kuna Mbowe (ingawaje haoneshi saana) Rose Mayemba Salum mwalimu Pambalu
Yote kwa yote ni uenyekiti wa chama timu ya kwanza inaandaa wapiga kura wa mwenyekiti wa chama Taifa ambae wamempendekeza awe Heche makamu Lema Lisu agombe tu urais
Timu ya pili wanataka wamlazimishe Mbowe aendelee Makamu awe Lema
 
ngaga peke yake, ni kila mahal

Lisu ahache nongwa 2025 wakati wanampokea Lowassa chadema ndipo iliacha misingi yake ya uhadilifu,walimpokea Lowassa na kula ela yake Yeye pamoja na Mbowe, Lissu ndiye aliyekuwa wa kwanza kumsafisha Lowassa na kudiriki kusema hata list of shame aliyosomwa mwembe yanga na Dk Slaa aliiandika Yeye ilikuwa ya uongo hakina Lowassa walikuwa wanasingiziwa.Sasahivi analialia nini wakati wao ndio waanzilishi wa hayo mambo? Kwenye mambo ya rushwa ndani ya chama Chadema na CCM ngoma droo, Sasahivi hauwezi pata cheo chadema au CCM pasipo rushwa.
 
Kutokana na hotuba hiyo ni dhahiri kuna kiongozi mkubwa ndani ya chama hicho anamwaga pesa kuandaa Viongozi watakao muunga mkono.

Hotuba ya Tundu Lissu inaonyesha hali ya mambo ndani ya chama hicho haiko sawa.
Ni kawaida kwa chama kikubwa km CDM na CCM wakati wa uchaguzi makundi kuwepo na kisha hutoweka baada ya uchaguzi,hili lilitarajiwa kwa Chadema wakimaliza tunqngojea ya CCM
 
Ni kawaida kwa chama kikubwa km CDM na CCM wakati wa uchaguzi makundi kuwepo na kisha hutoweka baada ya uchaguzi,hili lilitarajiwa kwa Chadema wakimaliza tunqngojea ya CCM
Tatizo siyo kambi za uchaguzi, kambi za uchaguzi ni kitu cha kawaida kwenye siasa.
Tatizo hapa ni rushwa ambazo Lissu ametuhumu baadhi ya viongozi wenzake kuhongwa.
Tuhuma hiyo imetia doa uchaguzi huo na kuhatarisha ustawi wa chama.
 
Hivi kazi ya TISS katika nchi hii ninini?!
Wanajua wajibu wao kweli hadi mambo yanakuwa hovyo kiasi hiki!
 
Can he justify hizo Tuhuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…