saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
mtu aliyecgannyikiwa unaita ameingia ikibabe? We ni mweupe huwezi kusoma ht saikolojia ya mtu. Huyo kibaraka wenu alipanic, nani ameyataka mwenyewe km siyo kupanic. Anayeshinda naye ni nani< serikali? We kwa upumbavu wako unaamini kabisa ataishinda serikali ya Tanzania? We hii nchi huijui, huyo mwisho wake umekaribia hawezi kufanikisha lolote kea hiyo style ya kishamba.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
alipanicIla Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Big yes. Na siku zote ukitaka kuchukiwa penda HAKILissu anaonekana ni mtu ambae hana noma na Mtu ni vile ni mtu wa Kupenda haki basi ndo kosa lake
D dish dhdjjbxnbd. D hkkscfgsbj 😏kutukana mtumishi wa Mungu ni laana, jihadhari sana na hilo.
hata hivyo,
kuwaza kutukana ndio hasa kutukana kwenyewe huko katika ulimwengu wa roho 🐒
xnshwndriq zhkhmure fkldswehlopytD dish dhdjjbxnbd. D hkkscfgsbj 😏
Angalia ZEZETA lingine hili. Wewe ndiyo umepaniki toka Mungu amponye mna hasira hata na Mungu. We unaijua hii nchi? Kaijua Nyerere Leo Yuko wapi?. Magu na kumpiga risasi huyo huyo aliyekupanikisha Leo Yuko wapi?. Hayo mambo yenu ya kukaririshwa na ccm. Ndiyo yaliokimbiza watu congo kwa kikundi Cha waasi M23. Wakarudi kimya kimya.mtu aliyecgannyikiwa unaita ameingia ikibabe? We ni mweupe huwezi kusoma ht saikolojia ya mtu. Huyo kibaraka wenu alipanic, nani ameyataka mwenyewe km siyo kupanic. Anayeshinda naye ni nani< serikali? We kwa upumbavu wako unaamini kabisa ataishinda serikali ya Tanzania? We hii nchi huijui, huyo mwisho wake umekaribia hawezi kufanikisha lolote kea hiyo style ya kishamba.
alipanic
Hana jipyaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
Wa Tandale na Buza watakujia juu!Nimetoka kumwambia mjukuu wangu wa kiume kuhusu huu ujinga wa kuandika "cc, c, ww, vp, mwl".
Nimemwambia mwanaume rijali katu hapaswi kuandika namna hiyo, hivyo huwa wanaandika wadada (au wanaume walioondoka kwenye kundi la wanaume) wa Tandale na Buza huko ambao kwao shule na kichwani hamna.
Anamaanisha kina Lukas mwashambwa na tlaahtlaah ni watoto wa mwana kulitafuta,mwanakulipata!Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
Hata Petro wa kwenye Biblia alikuwa mropokaji,ni hulka yake tuu!Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Yaani Munjombe, umeongea kwa hisia Kali!Hata Bibi yangu angefufuka Leo,ingawa hakusoma ,Angelia ujinga huu!Tunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.
Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.
Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.
Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Matendo ya Mitume ngapi mkuu?!38 “Kwa hiyo, kwa kesi hii nawashauri waacheni watu hawa wala msiwatendee lo lote, kwa maana kama mpango wao na kazi yao ni mambo ya wanadamu hayatafika po pote; 39 lakini ikiwa ni kazi ya Mungu hamtaweza kuwazuia. Badala yake huenda mkajikuta mnam pinga Mungu!”
Matendo Ya Mitume.
Fhjjvbj 😼xnshwndriq zhkhmure fkldswehlopyt
Hata huyu wa Malawi!Viongozi Bora wote wa afrka alitokea gerezani kuelekea ikulu kasoro Nyerere tu
Kwame
Kenyatta
Samora
Mugabe wa ZAMANI
Mandela
Nujoma
Henchilema
nochenjgFhjjvbj 😼
Vitraco vyako 😏nochenjg
tutakutana kwenye ulimwengu wa kiroho,Vitraco vyako 😏
Matendo ya Mitume 5: 38Matendo ya Mitume ngapi mkuu?!