The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Unakuta babu Yake adriz anaweka hizi emoji akitumaga message 🤜🏿🤛🏿👌🏿👊🏿🤘🏿🫶🏿🤏🏿🤞🏿💪🏿 unabaki kushangaa wtf!Nimetoka kumwambia mjukuu wangu wa kiume kuhusu huu ujinga wa kuandika "cc, c, ww, vp, mwl".
Nimemwambia mwanaume rijali katu hapaswi kuandika namna hiyo, hivyo huwa wanaandika wadada (au wanaume walioondoka kwenye kundi la wanaume) wa Tandale na Buza huko ambao kwao shule na kichwani hamna.
Ameongea vitu ambavyo wewe huvijui, sio kwwmba karopoka.Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Kwanini asikukele na ulitamani afe kwa risasi dodoma?. Mungu kawakera sana watu wa Aina yako kumsimamisha Tena Lisu kuwa haiKuropoka sio kusema uongo, improve your swahili
Kaniboa huo ushabiki na uropokaji hapo mahakamani!
Unaliwa na WasiraUmekalia gundi ya jana hebu angalia kwenye kiti ni gundi au .....
Kwanini asikukele na ulitamani afe kwa risasi dodoma?. Mungu kawakera sana watu wa Aina yako kumsimamisha Tena Lisu kuwa hai
Njoo nifungiwe na weweUkafungiwe naye ili umsaidie kumpunguza mafuta ya mwili..!!
Hayo maswali ni mazito sana kwa hiyo ZEZETA atojibu hata mojaHebu tupe ushahidi kidogo furaha yako kubwa kabisa kwenye hili ipo kwenye kipi? Ambacho kina maslahi na taifa.
1. lisu kukaa gerezani
2. lisu kuwa na kesi ya uongo ya uhaini
3. Lisu kusema kweli wa yaliyopo nchini
4. chuki dhidi ya lisu
5. chuki dhidi CHADEMA
6. Furaha ya kuendelea kuwa na mafisadi yasiyo taka kubugudhiwa nchini.
7. mapenzi kwa CCM.
Dodoma zilikua hisia pia. Huyo mtu ata akifa Leo kwenu furaha. Uhai wake ni kero kwenu.Wazee wa hisia
Shida ipo kwenye IQ yako iliyoshindwa ku substantiate my line of argument!Hauna IQ ya kumcritisize lisu, wewe na ukoo wako mzima! Unachojaribu kuelezea hapa ni chuki zako binafsi dhidi yake!
No, he's not!Are you fine sir?
Mngejua Hilo hata uhaini msingempa mmezihirisha kwa kiasi gani mlivyo wapumbavu. Kwa hiyo ulitaka akifika hapo awe anaumwa sana kadhoofika iwe furaha yenu.Good to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
Wamempa wakati mzuri na Mungu kuliko wakati mwingine wowote ule.lazima awe na furaha.Afu hata hakondi wala hana huzuni namfananisha na Nabii Daniel kupewa majaribu na mfalme na utawala wake na aloshinda kila kikwazo Kwa kishindo! asomaye biblia na afahamu!
Awezi kukuelewa kila wakifikilia kwanini akufa dodoma roho zinawauma sanaAcheni ujinga. Tafsiri ya neno kuropoka ni speak without thinking au talk nonsense. Kikwebo unachokifikiri na kuhisi hakipo kabisa. Tuliza halmashauri ya kichwa chako.
Kweli kabisa! Lisu ni mzalendo sana, na amebarikiwa kuwa na uwezo mkubwa kifikra.Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Kwani hawa ruhusiwi kuweka mpira kwapaniMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
Unadili na Hilo ZEZETA la nini lipuuze tu. Mkuu👿 Yani wewe natamani nikutukane bahati yako…!!