Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uzuri wa Lissu watu wengi bado hawajamuelewa yeye siku zote uwa anapenda haki, sheria ifuatwe na haki itendeke.

Ujanja ujanja kwake no Ni kusimamia ukweli.
Wameanza wao kuweka pingamizi tokea jana lakini wapo watumishi wa NECCCM wenye utu busara wakawa wanampa taarifa zote ndipo na yeye kaamua kuwajibu vizuri
 
Amekwambia hana nguvu? UmeUmepaniki
 
Anauwa Chama chenu lakini, Magufuli ni Raisi wa JMTZ na mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, kuanzisha Vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ni ujuha, ni watu low IQ ndio wanaweza kufanya hivi, ...
Raisi akitikiswa na akatikisika nchi nzima inatikisika ndio katikiswa sasa na bado
 
Tuendelee kutunza kumbukumbu, Lissu pamoja na uhuru na haki ya kufanya haya yote oktoba akiwa kesha shindwa vibaya atasema uchaguzi haukuwa huru na haki.

Jana alisema ameambiwa yako magari 3 na kuyataja namba zake kuwa yana watu wenye binduki wanataka wamteke. Tume haikukemea hili, ila leo inakemea vyombo vya habari kutaja majina ya wagombea ambao majimbo yao wapinzani wamevurugwa.

Tume ilitoa elimu ya uchaguzi ya kutosha kwa wanahabari? Kuwepo na watu wa kuambatana na wakiwa nyuma ya wajumbe wa tume.
 
Asiye na uzoefu wakujaza hizo fomu ndiye atakayekosea, siyo JPM. Rais JPM ana uzoefu wa kujaza hizo fomu na ni makini, hana papara wala wasiwasi kama Lissu. Jana aliposubilishwa pale Ndejengwa, NEC, akadhani ndio kakwama na kuanza kulalamika.
 
CDM wakiweka pingamizi kuna kijani wanadai wanashindana na dola . CCM wakiweka ni haki na wagombea chungu mzima wameenguliwa kimizengwe. Ndio maana yule Diwani aliekatwa Dodoma alidai ' Mie sio mpinzani msinikamate'.
Tume wamekataa huo ujinga yaani Ccm wàmebanwa kila mahali
 

..kwani ni wapi nimejaribu kubadilisha yaliyotokea?

..unyama na ukatili uliofanywa na jiwe ni jambo baya sana kwa taifa letu.

..jiwe anapaswa kuondolewa ili kama nchi tusiendelee kubeba dhambi zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huu duu...Lissu wahurumie kidogo hawa watu...
Hivi hapo unaona kuna chochote Lisu anaambulia?..

Angakuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao ccm imepita bila kupingwa huku majimboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…