GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu hii ndiyo tofauti yako na praise team walio wengi humu jamvini......penye ukweli huwa unanyoosha
Na ni kutokana na tabia yangu hii hii ya kupenda 'Kunyoosha' ndiyo maana nina 'Maadui' wengi ila nina Ulinzi wa kutosha wa Malaika wake Mungu.