Anauwa Chama chenu lakini, Magufuli ni Raisi wa JMTZ na mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, kuanzisha Vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ni ujuha, ni watu low IQ ndio wanaweza kufanya hivi, ...
Jana aliowatuma wasiojulikana wamkamate Tundu lakini CIA FBI Scotland Yard na wapelelezi wa mahakama ya uhalifu The Hague wakawashitukia mapema wakaingia mitini.Dingi yupo ofisini chamwino anachungulia tu na kuweweseka.
Kama nawaona kijaniHunizidi mimi
Uzuri wa Lissu watu wengi bado hawajamuelewa yeye siku zote uwa anapenda haki, sheria ifuatwe na haki itendeke.
Ujanja ujanja kwake no Ni kusimamia ukweli.
Na Siku zote Mwanadamu kama huyu aliye Mkweli, Muwazi, mpenda Haki na si Mnafiki huchukiwa na Watu ila hupendwa sana tu na Mungu / Allah.
Ahahaha,*****View attachment 1548772
Magufuli na Lipumba kuna alarm huku
Hajawekewa pingamizi lolote lileAcha ujinga wewe inaelekea hata hujui kinachoendelea huko NECCCM Tumeccm, Tambua kuwa licha figisu figisu za CCM kule NECCCM wapo watumishi wanampenda Tundu lisu wamempa taarifa kuwa kawekewa pingamizi na CCM, Lipumba , Shibuda na wengineo ambao wamenunuliwa na CCM kwa njia haramu ndipo na yeye kaamua kuweka pingamizi haraka, sasa ngoja mapingamizi yagongane huko huko ili CCM wapate kujifunza kuwa figisu figisu za kishamba huleta mlolongo mwingine usio na Tija kwa Taifa,
👏👏👏👏Mkuu hii ndiyo tofauti yako na praise team walio wengi humu jamvini......penye ukweli huwa unanyoosha
Muda ndo tatizoYule hana noma atawasaidia tu.
Mm nikizania atakua twahujumu uchumiAnauwa Chama chenu lakini, Magufuli ni Raisi wa JMTZ na mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, kuanzisha Vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ni ujuha, ni watu low IQ ndio wanaweza kufanya hivi, ...
Lisu angakuwa na akili angewasaidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imepita bila kupingwa kuliko hizo drama zake hapo dodoma hazitamuingezea chochoteHapo kutakuwa na makosa kibao ila msishangae Tume kukana hizo nyaraka ingawa wao ndio walimpatia.
Wapo watumishi ndani ya NECCCM wanatoa taarifa zote juu ya fitna za CCM na washirika wake hususani Shibuda kubwa jinga bichwa kubwa na Profeselii wa Olijino comedy Lipumba.Hadi saa saba kasoro ilikuwa hakuna pingamizi. Labda walikuwa wana tegana.
Hata mimi ni kidumeLissu ndio mwanaume Jamaani
Ule ni mtego aliwatega paleAlisema endapo atawekewa mapingamizi nayeye ataweka mapingamizi napenda kula ugali na mboga
Lissu is fresh mentally, mwenye tatizo la kisaikolojia ni wewe njoo tukutafutie wataalam wakusaidie!Kilichotokea kimetokea nani kafanya binafsi sijui. Muhimu kwa sasa ni Lissu akamilishe matibabu yake ya kiakili ili aweze endelea na maisha yake without having to live deal mental torture on daily basis.
Hata wakizindua choo wanakuwa mubashara 'live coverage'Uko sahihi nchi hi bila Kiki hatuendi hata Mzee baba na wafuasi wake wote huwa wanatafuta Kiki tu maana hata ukiangalia tv zote zipo kwao