Hizi zako ni stress TAKATIFU.Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Mwaka 2010 wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, CCM ilikuwa tuondolewe kwenye uchaguzi baada aliyekuwa Katibu mkuu wetu kubugi step na kuonyesha kwa waandishi wa habari barua ambayo tume ilivikutanisha vyama vya CDM na CCM kujadili jambo ambalo CDM walililalamikia na baada ya mkutano huo kuna barua ambayo Tume liviandikia vyama hivyo.Hapo kutakuwa na makosa kibao ila msishangae Tume kukana hizo nyaraka ingawa wao ndio walimpatia.
Awamu hii ya mtukufu malaika toka chato haiendeshi Nchi kwa mujibu wa katiba Sheria haki za binadamu bali inaendesha Nchi kwa mujibu wa Sheria binafsi za mtukufu tokea chamwino, Mfano sasa bunge lilishavunjwa kitambo lakini mawaziri wanafanya kazi kama kawaida hata spika huonekana ofisini Bungeni kama kawaida wakati kikatiba kisheria makatibu wakuu ndiyo walipaswa kuzisimamia wizara mpaka uchaguzi ukimalizikaWawe waangalifu wasije kutekwa kabla hawajafika.
Hata huo mkutano wake na waandishi unaweza kuzuiwa ili kumfichia mtu fulani aibu.
Swali la kujiuliza hapa ni je,iwapo Magu, kama mgombea, atakuwa ni mmoja wa aliewekewa pingamiza,atajitetea kama mgombea au atajitetea kwa mwanvuli wa Ofisi ya Uraisi?
Binafsi naamini sheria itamtaka ajitetetee kama wagombea wengine.
Tusubiri.
Itafaa zaidi wakichomolewa hao tubakie na wawili tuZile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu kwakwe.
Trust me wale wagombea wengine waliopewa kipaumbele na kuharibu ratiba wakaingia fasta wakapokelewa na kupitishwa haraka wamefanya makosa mengi ya kisheria na hili litawagharimu pakubwa
Hahaahaahahahaahahahaaa Ccm ileeeeee inakwemda na maji.,.ahhaahhaahaahaView attachment 1548772
Magufuli na Lipumba kuna alarm huku
Jibu kavu hili[emoji38][emoji38]Zinaanza vipi na magufuli hana sifa?
Mkuu njoo umuchukue dada yangu umwoe,buureeee ahahaahakuna mtu katafuta kiki for 5 bloody years.... Lissu kaikamata nchi ndani ya mwezi mmoja tu watu tayari jamba-jamba.
ndio mjue hizo SGR & Stiegler's Gorge zenu Lissu akiamua kuzijenga hawezi kuchukua miaka yote 15 ambayo JPM anahitaji.
mwacheni mwanaume wa ukweli awanyooshe, mlizoea vya kunyonga shubaaamit!
Kuna watu walitafuta daftari la mpiga kura waka anza kukopi majina na kuiba sahihi zao.
Ingalikua mawazo hayo ungempa yule ocd wa morogoro basi ungalionekana ww ni men of the match.Sky, nadhani angelipotezea, likapita wakakutana kwenye uwanja. Hawawezi kumkata hivyo unapotezea
Kama ww ulivo kua ukishangiria wabunge wa viti maalum walio tangaazwa janaHajapona ukichaa huyu jamaa ,ndiyo maana anatetea ushoga
Acha povu tuliza akiliLissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges.
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa.
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Ni kweli ni sawa na kutaka kumpindua. Ila mgombea wa uraisi ambaye bado ni raisi inawezekana.Huwez kumuwekea pingamizi Raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu
Iwe Kiki isiwe kiki shauli zenu na huyo mungu mtu we nu KAMA NOMA NA IWE NOMA.Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtoto wako mchanga mwenyewe analia kutwa nzima ila akitajiwa jina la Lissu ananyamaza na kunywa maziwa kwa speed ya uchumi wa kati.
Kama nani kapeleka kimya kimya?Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
Nyumbu mna kazi sana.
Hivi kwa akili zenu za kinyumbu kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Kwa kweli Lofa ni Lofa tu (RIP Mkapa)
Ndio ukweliJibu kavu hili[emoji38][emoji38]
Mbunge mume mteka na wengine mume wapa kesiLisu angakuwa na akili angewasaidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imepita bila kupingwa kuliko hizo drama zake hapo dodoma hazitamuingezea chochote