Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Hizi zako ni stress TAKATIFU.
 
Hapo kutakuwa na makosa kibao ila msishangae Tume kukana hizo nyaraka ingawa wao ndio walimpatia.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, CCM ilikuwa tuondolewe kwenye uchaguzi baada aliyekuwa Katibu mkuu wetu kubugi step na kuonyesha kwa waandishi wa habari barua ambayo tume ilivikutanisha vyama vya CDM na CCM kujadili jambo ambalo CDM walililalamikia na baada ya mkutano huo kuna barua ambayo Tume liviandikia vyama hivyo.
CCM walipofuatwa kuulizwa Katibu mkuu akawaonyesha waandishi barua iliyoandikwa "SIRI", walipofuatwa CDM hawakutoa hiyo barua wala kuingelea lolote lililokuwemo mule, Mnyika ndiye aliyekua kaimu katibu mkuu wakati ule.
Ila kilichokuwepo under the carpet CCM ilikua imetengenezeana zengwe la kuondoana sababu ya Mwenyekiti wetu.
Ila sakata lile lilimalizwa kimya kimya na CDM wakatulia
 
Wawe waangalifu wasije kutekwa kabla hawajafika.

Hata huo mkutano wake na waandishi unaweza kuzuiwa ili kumfichia mtu fulani aibu.

Swali la kujiuliza hapa ni je,iwapo Magu, kama mgombea, atakuwa ni mmoja wa aliewekewa pingamiza,atajitetea kama mgombea au atajitetea kwa mwanvuli wa Ofisi ya Uraisi?

Binafsi naamini sheria itamtaka ajitetetee kama wagombea wengine.

Tusubiri.
Awamu hii ya mtukufu malaika toka chato haiendeshi Nchi kwa mujibu wa katiba Sheria haki za binadamu bali inaendesha Nchi kwa mujibu wa Sheria binafsi za mtukufu tokea chamwino, Mfano sasa bunge lilishavunjwa kitambo lakini mawaziri wanafanya kazi kama kawaida hata spika huonekana ofisini Bungeni kama kawaida wakati kikatiba kisheria makatibu wakuu ndiyo walipaswa kuzisimamia wizara mpaka uchaguzi ukimalizika
 
Zile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu kwakwe.

Trust me wale wagombea wengine waliopewa kipaumbele na kuharibu ratiba wakaingia fasta wakapokelewa na kupitishwa haraka wamefanya makosa mengi ya kisheria na hili litawagharimu pakubwa
Itafaa zaidi wakichomolewa hao tubakie na wawili tu

Maana hao wengine hata hivyo vyama vyao havina uhai
 
kuna mtu katafuta kiki for 5 bloody years.... Lissu kaikamata nchi ndani ya mwezi mmoja tu watu tayari jamba-jamba.
ndio mjue hizo SGR & Stiegler's Gorge zenu Lissu akiamua kuzijenga hawezi kuchukua miaka yote 15 ambayo JPM anahitaji.

mwacheni mwanaume wa ukweli awanyooshe, mlizoea vya kunyonga shubaaamit!
Mkuu njoo umuchukue dada yangu umwoe,buureeee ahahaaha
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu tayari amemaliza kuwasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wengine, sasa yupo njiani kwenda ofisi ndogo ya Makao Makuu Kanda ya Kati, kuzungumza na waandishi wa habari saa 11 jioni hii.

Mpaka inafika saa 10: 05 Mhe. Tundu Lissu alikuwa hajawekewa mapingamizi yoyote. Lissu amewasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wawili, Mosi mgombea kupitia chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli na pili Mgombea kupitia chama cha CUF Ibrahim Lipumba.

#NoLissuNoElection

IMG-20200826-WA0053.jpg
 
Anachekelea.. huku kakimbia kufika mahakamani leo..
Ana kesi za kujibu.. na bado.. kunogile haswaa..

Pole yake..

Magufuli 2020💯
 
Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges.

Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa.

Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.

Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Acha povu tuliza akili
 
Back
Top Bottom