Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Magufuli ni kaimu Rais kwa sasa hata Ule ulinzi wake unapaswa kupunguzwa kuendelea kuwa na walinzi kibao ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 

Pingamizi la kuweza kumuengua mgombea wa nafasi ya urais unasema ni kitu kidogo sasa kuna jambo kubwa kuliko hilo au pengine una tatizo la uelewa. Kama ni jambo dogo mbona tume ilitangaza kwenye press muda wa kuweka pingamizi.
 
Haswaa. bao la kisigino.
 
Kwahiyo mchezo unajirudia mheshimiwa?
 
Magufuli ni kaimu Rais kwa sasa hata Ule ulinzi wake unapaswa kupunguzwa kuendelea kuwa na walinzi kibao ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi


Hata mgombea wako Low IQ anaamini hivyo kama wewe!
 
This is an intelligent move, ni wachache wataielewa.

Inawezekana Lissu akawekewa pingamizi kisha akaitwa late hours kujibu then simply wanamblock asifike kwa wakati ili wamuengue kwa hila.

Kitendo cha yeye kuwepo pale ofisi za tume na kuwekea pingamizi mgombea/wagombea wengine ni kizuri kwa kuwa kinamfanya awepo pale ili kama kuna pingamizi dhidi yake atalijibu pia.
 
Tukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!

Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.

Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
mkuu lakini sheria si msumeno, acha ifuate mkondo wake
 
Umepaniki wewe, unaumwa sio bure!
 
Hata Mimi nikiwa Rais naweza Jenga sgr sio kazi ngumu.

Hata presidential decree unajenga unakaba huku na unakaba kule reli hio hapo.

Watu wanataka mkate wa kula njaa zinauma ndio hao wako nyuma ya Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…