Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Jibuni hoja nyie , wewe kapuku hata hujui yaliyomo kwenye pingamizi halafu unaleta upupu humu !
 

Wewe na swahili yako.. mbona sio professor.. kwa vyuo vinavyoongoza nchini!!!.. muna midomo.. hata kilugha nacho hamujui.. sembuse lugha za munchi zingine..

Tulia 💉💉💉💉

Magufuli 2020 💯
 
Kuna mmoja wenu anahitaji msaada wa kitaaluma sio Lissu
The guy is smart Intelligent ada yake shule ililipwa kihalali sio kuungaunga kama nanihiii
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Karibu tutaelewana shwainiiii
Watu wanajiandaa na campaign yeye anapekenyua forms za wenzake, vipi anaogopa ushindani au hana kingine cha kufanya.

Si alidai yeye ndio anaogopewa wenzake, sijui watanzania wapo nyuma yake sasa mbona anaangaika na watu ambao hawana muda na yeye.

Get the guy some help
 
Ngoma inogile, huyo ndio Lissu ambae wengi walitegemea atakua mwoga mbele ya jiwe ila imekua tofauti

Kama nawaona mataga wanavyoitana vikao sasa
 
Lissu anapenda sana kuonekana.. Huyu anaweza tu drama sio chochote serious

Acha kutudanganya ndugu, wewe ndiye unayependa kumtafuta Tundu Lissu kwa "tochi" ili umuone....

Mtu huyu (Tundu Lissu) "atapendaje kuonekana" wakati TV, redio na Magazeti yote ya hapa nchini yamepigwa marufuku kuandika au kuonesha sura yake?

Sasa wewe umemuonea wapi iwapo wewe mwenyewe hujatoroka nyumbani kwako kwenda kumtafuta ili tu umuone????

I see a total confusion and panic onto your face....

I suggest mtulie kidogo. Acheni mambo yaende kama yalivyo kisheria...

Tundu Lissu ni MAJI ndugu;

Usipoyanywa, utayaoga

Usipoyaoga yatakumwagikia kwa mtindo wa mvua

Ukijificha ndani, yatakujia kwa njia ya unyevu vyevu humo humo chumbani ama sebuleni kwako toka chini ardhini....!!

#NI YEYE #RAIS TUNDU LISSU 2020 #NOHATE,NOFEAR #KUONEWASASABASI
 
Hii ndiyo tofauti kubwa kati ya "mechanical approach" kwa kulinganisha ni "technical approach', wakati inahitaji matumizi ya maguvu tu pasipo kutumia akili, ya pili ni kinyume chake.

Ni kanuni mbili tu zinaweza kumfanya kiongozi apate kuungwa mkono na wananchi waliokuwa wengi.

Kanuni Na. 1
Tumia hekima na akili nyingi ili uweze kupata aridhio na kuziteka akili za unaowaongoza.

Kanuni Na. 2
Zingatia na kuishika vyema Kanuni Na.1
 
Anayewekewa pingamizi Ni Pombe Magufuli na siyo Raisi Pombe Magufuli

Raisi ni taasisi acha ujinga uliokithiri !
Angewekewa pingamizi Lissu kungekuwa na povu humu jf kwamba wanamwogopa, leo Lissu kaweka pingamizi anaonekana shujaa. Subirini kidogo mtakuja kulialia Tena .

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Shibuda alikuwa na hali mbaya kiuchumi hakuwa na Gari nzima vigari vyake vilikuwa vya hovyo hovyo tu, lakini kupitia mgongo wa Tundu lisu kalipwa advance dola laki mbili sawa na milion 450 amenunua Gari mpya kaja nayo Dodoma kutekeleza kazi aliyopewa na CCM ya kumhujumu Tundu lisu kumwekea pingamizi, kwa sasa dili ni pingamizi ukitaka kula pesa za magufuli kiulaini nenda na gia ya kumwekea Tundu lisu pingamizi utaoga pesa mpaka ushangae
 
Yule aliyekosea kujaza fomu na ni PhD tena mweshimiwa na akiwa majukwaani anaona wengine wote ni vilaza wa nchi
Unajua vilaza huwa wanajiona super genius, ndio maana mgombea wetu alikua anatukana watu majukwaani pasipo kujua yeye ndio kilaza namba moja
 
Hapana ni ishara ya abnormal behaviour na sababu za Lissu zinajulikana (personal distress) anachoitaji ni msaada wa kitaalamu.

..unakosea.

..TL hajavunja sheria yoyote ile ya uchaguzi.

..tume kupokea mapingamizi yake kunaiongezea sifa kuwa inatoa haki sawa kwa wagombea wote.

..tume lazima ionyeshe kwa vitendo kwamba wagombea wote ni sawa, na haipendelei mgombea yeyote.

..again, Magufuli siyo mungu kiasi kwamba ni dhambi au ubatili kum-challenge.

NB:

..tatizo la wana CCM ni kutaka ktk uchaguzi huu Jpm awe kama "Papa au Baba Mtakatifu", halafu wagombea wengine wawe sawa na Maaskofu.
 
Jibuni hoja nyie , wewe kapuku hata hujui yaliyomo kwenye pingamizi halafu unaleta upupu humu !
Wewe unajua mbona wameweka wazi ni ujazaji wa form na defence yake ni rahisi sana kosa la mkaguzi kama wakidai walipeleka form kukaguliwa na wahusika awakuona tatizo.

Anyway nina uhakika sio tatizo halisi ni tatizo lilipo kwenye kichwa cha Lissu tu.
 
Cocochanel alikuja kutoka chibitoke mwaka 1952,kwahiyo uhuru ulimkuta hapa,so ni raia kamili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…