Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Duh,nimechapia,,ninamanisha ile kamati ya uchaguzi inayoongozwa na kaijage...Acha masihara,NECTA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,nimechapia,,ninamanisha ile kamati ya uchaguzi inayoongozwa na kaijage...Acha masihara,NECTA?
Jibuni hoja nyie , wewe kapuku hata hujui yaliyomo kwenye pingamizi halafu unaleta upupu humu !Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Mpaka sasa hivi ccm 22 chadema ya Lisu 0
Keng.eIle kanga uliyojifunga kiunoni uliyokua ukicheza baikoko kwa ushindi wa wabunge wa viti maalum walio tangaazwa Jana umeiweka wapi yule Dada anataka mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe dada una kiswahili kichafu sijawahi ona!! Utakua Muhutu wewe sio Mtanzania.
Eti hamuku mushauri, munajua munajifurahisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi kwenu Rwanda pimbi wewe.
Watu wanajiandaa na campaign yeye anapekenyua forms za wenzake, vipi anaogopa ushindani au hana kingine cha kufanya.Kuna mmoja wenu anahitaji msaada wa kitaaluma sio Lissu
The guy is smart Intelligent ada yake shule ililipwa kihalali sio kuungaunga kama nanihiii
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Karibu tutaelewana shwainiiii
Keng.eIle kanga uliyojifunga kiunoni uliyokua ukicheza baikoko kwa ushindi wa wabunge wa viti maalum walio tangaazwa Jana umeiweka wapi yule Dada anataka mwenyewe
Lakini haonekani ktk TBC wa magazeti ya jamhuriLissu anapenda sana kuonekana.. Huyu anaweza tu drama sio chochote serious
Ngoma inogile, huyo ndio Lissu ambae wengi walitegemea atakua mwoga mbele ya jiwe ila imekua tofautiTaarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
====
Tundu Lissu amewawekea Pingamizi Wagombea Wawili wa Urais. Amewawekea pingamizi Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF na Dr. John Magufuli wa chama cha CCM.
Hadi muda unaisha, hakuna aliyemuwekea Pingamizi Tundu Lissu. Hivyo kaondoka na kuelekea Ofisi za CHADEMA za Kanda kuongea na Wanahabari.
Zaidi, soma:
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM
Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA
View attachment 1548762View attachment 1548764
Lissu anapenda sana kuonekana.. Huyu anaweza tu drama sio chochote serious
Angewekewa pingamizi Lissu kungekuwa na povu humu jf kwamba wanamwogopa, leo Lissu kaweka pingamizi anaonekana shujaa. Subirini kidogo mtakuja kulialia Tena .Anayewekewa pingamizi Ni Pombe Magufuli na siyo Raisi Pombe Magufuli
Raisi ni taasisi acha ujinga uliokithiri !
Unajua vilaza huwa wanajiona super genius, ndio maana mgombea wetu alikua anatukana watu majukwaani pasipo kujua yeye ndio kilaza namba mojaYule aliyekosea kujaza fomu na ni PhD tena mweshimiwa na akiwa majukwaani anaona wengine wote ni vilaza wa nchi
Hapana ni ishara ya abnormal behaviour na sababu za Lissu zinajulikana (personal distress) anachoitaji ni msaada wa kitaalamu.
Kaombe nawe umwekee pingamizi
Wewe unajua mbona wameweka wazi ni ujazaji wa form na defence yake ni rahisi sana kosa la mkaguzi kama wakidai walipeleka form kukaguliwa na wahusika awakuona tatizo.Jibuni hoja nyie , wewe kapuku hata hujui yaliyomo kwenye pingamizi halafu unaleta upupu humu !
Cocochanel alikuja kutoka chibitoke mwaka 1952,kwahiyo uhuru ulimkuta hapa,so ni raia kamili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe dada una kiswahili kichafu sijawahi ona!! Utakua Muhutu wewe sio Mtanzania.
Eti hamuku mushauri, munajua munajifurahisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi kwenu Rwanda pimbi wewe.
Namimi nimekuwa nikijiuliza ni lini Magu alipita mikoani kuomba udhamini?? Au wadhamani wake toka mikoani walimfuata Ikulu??Kuna watu walitafuta daftari la mpiga kura waka anza kukopi majina na kuiba sahihi zao.