Time imesema imepokea mawili tuuMbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
ingekuwa ni saccos msingekuwa mnahangaika hivyo? Tokea lini soccos ikabambikiwa kesi kupigwa risasi kuomba wadhamini Nchi nzima na sasa mnaifanyia figisu figisu huko NECCCMNdiyo mkuu nina maana saccos ya chadema!
Kwa sababu umesha tambua kuwa ni chama dola basi kaa utulie kabisaMmekaa kishari shari sana, kama siyo chama cha siasa ni kikundi cha mauaji vile.
Mna nini nyie chamadola?
Mnachokozwa na nani?
Ninyi ni nani msihojiwe?
Hamieni dunia ya peke yenu.
Jaribuni kuwa wazalendo wa kweli, muache unafiki na kujipendekeza kwa huyo dikteta, atapita, tanzania yetu pendwa ipo pale pale
Watanzania wa wapi anaokubalika? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba?Endeleeni kurukaruka kama njugu.
Huyo anayehitajiwa huko mitaani alikokuwa anazunguka mara mtaa wa jojo na mitaa ya firigisi watakutana kupeana pole uko huku mitaani kwao.
Mhe. Dr. Magufuli, ndiye Rais wa Tanzania anakubalika kwa Watanzania wote.
Chama dola hakishiriki uchaguzi?Kwa sababu umesha tambua kuwa ni chama dola basi kaa utulie kabisa
Na nikapuku ogJibuni hoja nyie , wewe kapuku hata hujui yaliyomo kwenye pingamizi halafu unaleta upupu humu !
Wameishamuona ni chizi!
Kwani waliowekewa pingamizi wanajiteteta kwa lugha gani? na je wanaweza kutumia mawakili?Wawe waangalifu wasije kutekwa kabla hawajafika.
Hata huo mkutano wake na waandishi unaweza kuzuiwa ili kumfichia mtu fulani aibu.
Swali la kujiuliza hapa ni je,iwapo Magu, kama mgombea, atakuwa ni mmoja wa aliewekewa pingamiza,atajitetea kama mgombea au atajitetea kwa mwanvuli wa Ofisi ya Uraisi?
Binafsi naamini sheria itamtaka ajitetetee kama wagombea wengine.
Tusubiri.
Mimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi.
Tumuombee sana mungu apate kumlinda maana Bashite na cyprian Musiba wameomba fungu la kumfanyia shambulio la pili ikiwa ni njia ya Bashite kujipendekeza kwa mtukufu apate uteuzi mpyaSasa ruksa kampeni jamani. Tujimwage na Lissu wetu.
Kama ni Ushujaa, huwezi kukataa. Jamaa ni shujaa.Angewekewa pingamizi Lissu kungekuwa na povu humu jf kwamba wanamwogopa, leo Lissu kaweka pingamizi anaonekana shujaa. Subirini kidogo mtakuja kulialia Tena .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mazoea mabaya sana lakini this time yatawagharimu pakubwaWameishamuona ni chizi!
Nani anahangaika kati ya Saccos na Chama Dume? Mara mnasema eti Lipumba atamuwekea pingamizi msaliti Lissu kwa kuwa ameelekezwa na CCM baada ya kubuma hilo sasa msaliti Lissu anawawekea pingamizi Lipumba na Magufuli. Mtakapogaragazwa mtakuja na upuuzi mwingine! You ass!!ingekuwa ni saccos msingekuwa mnahangaika hivyo? Tokea lini soccos ikabambikiwa kesi kupigwa risasi kuomba wadhamini Nchi nzima na sasa mnaifanyia figisu figisu huko NECCCM
Watanzania wa wapi anaokubalika? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba?
Wote wenye akili timamu tunashukuru mungu kwa kumwachia maisha yake...tume ni wanadamu wanaweza kukosea.
..TL pia ni mwanadamu mapingamizi yake yanaweza yasiwe na uzito.
..tunaendelea kumshukuru MUNGU kwa muujiza alioufanya kumuepusha TL ni kifo cha shambulizi la watu wasiojulikana.
Angewekewa pingamizi Lissu kungekuwa na povu humu jf kwamba wanamwogopa, leo Lissu kaweka pingamizi anaonekana shujaa. Subirini kidogo mtakuja kulialia Tena .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Na ndio maana Mungu alimponya na yale marisasi.Kwenye biblia kuna mstari unasema sitamwacha mwenye haki wangu akaangamiaUzuri wa Lissu watu wengi bado hawajamuelewa yeye siku zote uwa anapenda haki, sheria ifuatwe na haki itendeke.
Ujanja ujanja kwake no Ni kusimamia ukweli.