Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ni hasara sana kumkosa chenge kwenye system
No we don’t know the outcome. Only God knowsKama ni Ushujaa, huwezi kukataa. Jamaa ni shujaa.
But we all know the outcome ....!!
Unataka kusema sheria ya pingamizi waliwekewa wapinzani?Hivi kwa akili zenu mnadhani kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
CCM ndiyo wasaliti kuchukua pesa za walipa kodi kuwalipa Lipumba na shibuda wavuruge uchaguzi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka mwaka 2022 mtukufu atawale miaka 7 , usaliti ni kuchukua pesa za viwanda kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bungeNani anahangaika kati ya Saccos na Chama Dume? Mara mnasema eti Lipumba atamuwekea pingamizi msaliti Lissu kwa kuwa ameelekezwa na CCM baada ya kubuma hilo sasa msaliti Lissu anawawekea pingamizi Lipumba na Magufuli. Mtakapogaragazwa mtakuja na upuuzi mwingine! You ass!!
Dr. Magufuli , ndiye Rais wa Tanzania. Full stop.
Hutaki hama nchi .
Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
Kwanza kuwa Raisi kunamfanya asiwe mgombea kwenye uchaguzi wa mwaka huu??? As long as ni mgombea ana haki sawa na wenzakeDr. Magufuli , ndiye Rais wa Tanzania. Full stop.
Hutaki hama nchi .
Nimegundua hadi wanajeshi wanampenda sana Tundu LissuMazoea mabaya sana lakini this time yatawagharimu pakubwa
Wewe ndiye watanzania wote?Mhe. Dr. Magufuli, ndiye Rais wa Tanzania anakubalika kwa Watanzania wote.
Na Lisu ndio Rais wa mioyo yetu haaaaa CCM hawatakiDr. Magufuli , ndiye Rais wa Tanzania. Full stop.
Hutaki hama nchi .
Hiki ndio CCM wanachofanyiwaNa nikapuku og
Vyombo vyote vya Dola wapo na Tundu lisu isipokuwa viongozi wa juu wale wanaojipendekeza kwa mtukufu kulinda vinua mgongo vyaoNimegundua hadi wanajeshi wanampenda sana Tundu Lissu
Wakiishatibiwa ugonjwa huo, UPENDO, HAKI & UKWELI vilivyopotezwa kwa makusudi mazima, vitapata fursa na nafasi kurejea kwenye TAIFA na nchi iliyo yetu sote. AMEN.tatizo la wana CCM ni kutaka ktk uchaguzi huu Jpm awe kama "Papa au Baba Mtakatifu", halafu wagombea wengine wawe sawa na Maaskofu
fomu za wagombea wote huwa zinabandikwa ubaoni nje ya getiHivi hizo form za Magu wamezionea wapi hadi wakaona amekosea sehemu?