Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Ndio tatizo la nchi hii mtu akionekana ni mdadisi anaonekana ni kero?!! Utiifu wa watu wengi ni wa ki nafiki!! Tatizo la lisu ana akili za mabeberu, hana unafiki, anachokiamini ndio hicho, na ndio alivyozaliwa,
Lissu ni zawadi kwa nchi yetu...
 
Umezaliwa dodoma wewe
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Alichofanya tofauti nini, nyie ndio mnasemaga mfalme haendi chooni.
 
Mwenzenu anamsumbua magu kichwa nyie mpo humu hata kumkosoa mbunge live hamuwezi
 
Magufuli ashauriwe urais wake auache kwenye gari? Kwa lugha yoyote itakayotumia bila msaada wa jaji Magu hajiwezi labda aandiwe then kule akasome tu
 
Acha utan mkuu,
Kingine kipi tofauti na 16 bullets

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ina maana huwezi kuona utofauti wa Mheshimiwa Lissu na Magu?
Kuanzia ujengaji wa hoja na kuitetea, uelewa wa mambo, convicing power ya Lissu vs maguvu ya Magu, na mambo kama hayo? Lissu is the best, huwezi compare na Magu, Lissu yupo mbele hatua 100,
 
Kwa hyo anaweza hats kujaza fomu hovyohovyo tu eeh akaachwa.akili za wanalumumba mnazijua wenyewe
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Kwahiyo waliotunga sheria ya pingamizi ni vituko?
 
Hahaha rais wa Tanzania hategemei bunge, yeye ni rais, yeye ni bunge, yeye ni mahakama.

Hilo halitabadirika mpaka tupate katiba mpya.

Hujiulizi Magufuli alifanyaje kazi, bila bunge, wala mahakama kumgusa, bali yeye ndiye aliviongoza?!

Ndiyo maana Mtikila alipigania Mgombea huru, na ndio maana unaona kuna vyama vina mgombea urais lakini havina mgombea ubunge wala udiwani nchi nzima.

Wake up!
 
Vipi wewe na Lissu?
 
Ujinga upi unahisi unatumia akili zako kufikiri!?
Nikuulize wewe unayejazwa ujinga na mgojnwa wa akili.watu wametulia tu hawana time nae,si kuna kitu mnakitaka? Mtakipata soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…