LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Lissu ni zawadi kwa nchi yetu...Ndio tatizo la nchi hii mtu akionekana ni mdadisi anaonekana ni kero?!! Utiifu wa watu wengi ni wa ki nafiki!! Tatizo la lisu ana akili za mabeberu, hana unafiki, anachokiamini ndio hicho, na ndio alivyozaliwa,