Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Kumekucha
20200826_194139.jpg
 
Kuna uadui mkubwa zaidi ya kupigwa risasi hadharani?
Lowasa alikuwa akijua kutafuta political support from enemies and all major political opposition and CCM dissatisfied members to give him votes that is why he got six milion votes

Lisu is not a politician his agenda is to destroy opposition to make sure they don't get enough votes by attacking opposition leaders like professor Lipumba and Attacking Magufuli the CCM chairman Both have milions of members and supports what does List expect with that wrong strategy more than his failure?

Lisu is a political Idiot who doesn't know where to attack to win majority votes
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Afanane na wenzake ili iweje?
 
Za Jioni wanachama wa JamiiForums,

Najaribu kufikiria kitu kitakachotokea ikiwa Jaji Kaijage aamue kukomaa kweli kweli na kumuengua Rais Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kufuatia pingamizi lililowekwa na Tundu Lissu.

Waweza kuja na mawazo yako ili tujifunze.

Yote kwa yote Tundu Lissu ametufumbua macho watanzania, nadhani hata Rais Magufuli mwenyewe kastuka sana na kuingiwa na woga.

Muda utaamua.
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Huo utofauti ndio unamfanya apendwe kuliko hao wengine wote
 
Guaranteed CCM kupitia green guards au ...... wataanzisha bonge la fujo. Fungu la uchaguzi kama hawajapewa lote ndo utasikia bajeti haitoshi. Na hapo ndo mwisho wa uchaguzi.
 
Huyu atakuwa TUNDU CHOO sio bure, anatafuta sifa kwa mambo ya kijinga sana. Hivi anadhani anaweza kushindana na serikali? Huyu siasa ishamshinda anatafuta kiki kwa kila namna.
 
Za Jioni wanachama wa JamiiForums,

Najaribu kufikiria kitu kitakachotokea ikiwa Jaji Kaijage aamue kukomaa kweli kweli na kumuengua Rais Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kufuatia pingamizi lililowekwa na Tundu Lissu.

Waweza kuja na mawazo yako ili tujifunze.

Yote kwa yote Tundu Lissu ametufumbua macho watanzania, nadhani hata Rais Magufuli mwenyewe kastuka sana na kuingiwa na woga.

Muda utaamua.
Kama hakukizi vigezo ni lazima aenguliwe hakuna namna.
 
Wakiweka wao pingamizi ni sawa ila wakiweka wapinzani kelele mingi kinyama, poleni kama imeingia sana..
 
Back
Top Bottom