Hata kule M4C hakuna!Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandaoni mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!