Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandaoni mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.

Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?

Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?

Nawaza!!
Hata kule M4C hakuna!
 
Za Jioni wanachama wa JamiiForums,

Najaribu kufikiria kitu kitakachotokea ikiwa Jaji Kaijage aamue kukomaa kweli kweli na kumuengua Rais Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kufuatia pingamizi lililowekwa na Tundu Lissu.

Waweza kuja na mawazo yako ili tujifunze.

Yote kwa yote Tundu Lissu ametufumbua macho watanzania, nadhani hata Rais Magufuli mwenyewe kastuka sana na kuingiwa na woga.

Muda utaamua.
Kwaheri doctor
 
Naona pingamizi hili limefurahisha watu! Ila angewekewa yeye watu wangeanza kulia. Tusubiri namba sitasoma vizuri na tusije kuwa na visingizio vya kitoto
 
Kila engo lazima itumike kuhakikisha uchaguzi huu unakuwa wa haki sawa kwa wote na huru bila kupepesa macho.
...........................................................................

2 August 2020
KUMEKUCHA TUNDU LISSU KUMUWEKEA PINGAMIZI RAIS MAGUFULI ,ASEMA AMETOA RUSHWA

Hakika huyu mtu hayupo vizuri upstair. Ameshindwa kabla hajaanza. Yaan ni comedy tupu! Bora Hashim Rungwe tule tu ubwabwa aysee. Huu muda angeutumia kufanya utulivu ili aweze kupambana na jiwe. Yeye analeta comedy?
 
Lissu kafadhaishwa na navyopuuzwa. Alitegemea akirudi "ataghasiwa" ili apate huruma ila wapi. Si polisi wala serikali, hawana taimu nae na kikubwa zaidi wananchi wamempuuza.
these are last kicks of the dying horse....
😂😂😂😂😂😂😂 we jifariji tu, mguseni muone.
 
Hakika huyu mtu hayupo vizuri upstair. Ameshindwa kabla hajaanza. Yaan ni comedy tupu! Bora Hashim Rungwe tule tu ubwabwa aysee. Huu muda angeutumia kufanya utulivu ili aweze kupambana na jiwe. Yeye analeta comedy?
😂😂😂😂 huo ni mtego kwa tume kama wapo huru au laah sasa wajichanganye kuyapuuza hayo malalamiko ndio mtajua hamjui
 
Back
Top Bottom