Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema media Chadema media...hawa jamaa wananikwaza kweli yanNajaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Alikuomba Nini toka kwako?Muogope sana mtu anayeishi kwa kutegemea kuonewa huruma. Huyu hana chochote cha maana ila anatafuta kuzungumziwa tu na unaweza muuliza sababu za pingamizi lake akakwambia anapigania uhuru wa vyombo vya habari.
Haitaishia kutumbuliwa tu. Na mengine lazima yaandamane nae.Lile tamko la kumuengua kugombea latosha , hata mkurugenz wa nec akitumbuliwa bado huku kuna jambo lazima lianze upya ,
Unaelewa matusi wewe?Clip zote ni matusi na kupigwa risasi basi.
Wewe ni mjinga kwani Magu yupo juu ya sheria za nchi? Kama kweli amekosea itabidi tu kaijage aamue kuchafua cv yakeHaiwezekani hata kwa mfano mshindi championi anaenda moja kwa moja nyie ndo mnafanya mchujo.
Hapo tundu anajifulahisha na kufulahisha watu wa chadema.
Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Hawezi thubutuuuuuuuu...........Za Jioni wanachama wa JamiiForums,
Najaribu kufikiria kitu kitakachotokea ikiwa Jaji Kaijage aamue kukomaa kweli kweli na kumuengua Rais Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kufuatia pingamizi lililowekwa na Tundu Lissu.
Waweza kuja na mawazo yako ili tujifunze.
Yote kwa yote Tundu Lissu ametufumbua macho watanzania, nadhani hata Rais Magufuli mwenyewe kastuka sana na kuingiwa na woga.
Muda utaamua.
Kwani hizo sheria simulizipitisha wenyewe kwa kuitikia ndio kisa muko wengiNaona pingamizi hili limefurahisha watu! Ila angewekewa yeye watu wangeanza kulia. Tusubiri namba sitasoma vizuri na tusije kuwa na visingizio vya kitoto
Vipenyo na vificho wako bizeWajumbe washafanya yao!
Shida zipo, nyingi sana mkuu.Duh...inawezekana mtaani au kijijini kwako wana shida Kama ni hivyo...
Mambo huwa yanaanza taratibu hivi hiviHhh naona wimbo umebadilika sasa.. Maneno kama haya walikua wakiyasema team Lumbumba wakati upinzani walipokuwa wakiburuzwa MAHAKAMANI
Mbona kinyonge sana? Una njaa? Kale LumumbaTundulisu anazid kulamba waya wa umeme akipigwa shot asilie ohooo pia mnavyo furaia Sasa iv endapo Ngoma itageuka basi vicheko viwe Sawa
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃Kwani Huyo Rais Ameshtakiwa wapi?
Mbona unakuwa kilaza hivyo.
Pingamizi linaenda NEC.
Mashtaka yanaenda Mahakamani.
Magufuli ni Mgombea ndio maana amewekewa pingamizi kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi kulingana na Vile Lisu alivyoona gap.
Wewe unakalia upumbavu wako, sijui Rais, sijui JMT, kama ni Rais kilichomfanya akagombee ni nini?
Uache utoto, pumbavu
Hujasema kwa uwazi ni jinsi gani wanakukwaza au kwa wao kupenda haki itendekeChadema media Chadema media...hawa jamaa wananikwaza kweli yan
Ulitaka watu waone na kusikiliza matusi aliyoporomosha? Lugha zinazochochea chuki, hasira na mapambano ya wafuasi wa vyama hivi vya siasa hasa vijana. Matokeo yake ni kusababisha vifo vya kijinga. Lissu hata akiupata huo urais hali ya vipato ya hawa vijana, mimi na wewe itabaki hivyo hivyo (status quo).Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Ukweli ndio huohuo unawaza kwa kutumia nini tako?Unapanic unaanza kutukana,[emoji2][emoji2]