Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Kumbe unakula kitimoto? Ndio maana huna akili,minyoo ya nguruwe imekupanda kichwani[emoji2][emoji2]Karibu kitimoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unakula kitimoto? Ndio maana huna akili,minyoo ya nguruwe imekupanda kichwani[emoji2][emoji2]Karibu kitimoto
Mlianza nyie kuwaengua wabunge wa upinzani haya sasa shuzi limerudi kwenu.Yeye kaanza asubir ccm wamalize [emoji1787][emoji1787][emoji1787]chedema msilie tu mana mchezo inaonekana mmeupenda
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Rudisha avatar yako ya zamani, plz!Patamu hapa
Huna facts huwezi kushabikia ujinga nilikuwa namkubali huyu jamaa Ila kiuhalisia hana sifa za kupeperusha Bendera ya nchi ya Tanzania maana ni mropokaji ,kwake kila kitu ni makosa ,wajinga kama we we na wenzio ndo mtashikwa unavyowazaNawaambiaje lazima mruke kichaa mwaka huu!! Mtamaliza propaganda zote!!! Lissu kawashika pabaya 😂😂😂
Anajifurahisha na kufurahisha ndo nyie mloishia darasa la nne hata kiswahili kuandika mnashindwaHaiwezekani hata kwa mfano mshindi championi anaenda moja kwa moja nyie ndo mnafanya mchujo.
Hapo tundu anajifulahisha na kufulahisha watu wa chadema.
Matusi yako wapi hapa:Ulitaka watu waone na kusikiliza matusi aliyoporomosha? Lugha zinazochochea chuki, hasira na mapambano ya wafuasi wa vyama hivi vya siasa hasa vijana. Matokeo yake ni kusababisha vifo vya kijinga. Lissu hata akiupata huo urais hali ya vipato ya hawa vijana, mimi na wewe itabaki hivyo hivyo (status quo).
Sheria ifate mkondowakeMimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi.
kumbe zinapatikana eeh
Subiri ambae amekuwa akileta commedy siku zote, ataonekana vizuri ndani ya wiki hiiHakika huyu mtu hayupo vizuri upstair. Ameshindwa kabla hajaanza. Yaan ni comedy tupu! Bora Hashim Rungwe tule tu ubwabwa aysee. Huu muda angeutumia kufanya utulivu ili aweze kupambana na jiwe. Yeye analeta comedy?
Wenzenu wako field saa hii wana majimbo 22 nyie mnahangaika na ujinga eti pingamizi?
Mkuu wewe endelea kushangilia pingamizi la Lisu.We ndio kiazi kweli, kwani hao 22 wameshinda kwa uchaguzi? Umeishiwa na hoja saa umebaki unaongea utoto tu.
Hivi hukuwahi kumsikia kauli za magu za kuudhi, dhihaka, au akiwaponda wapinzaniUlitaka watu waone na kusikiliza matusi aliyoporomosha? Lugha zinazochochea chuki, hasira na mapambano ya wafuasi wa vyama hivi vya siasa hasa vijana. Matokeo yake ni kusababisha vifo vya kijinga. Lissu hata akiupata huo urais hali ya vipato ya hawa vijana, mimi na wewe itabaki hivyo hivyo (status quo).
Bia yetu kapotea sana sijui yupo kona ipi
Lissu umejua kuwafurahisha Watanzania.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1548721View attachment 1548722View attachment 1548724
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Cc.FaizaFoxy "huko shule mlienda kusomea ujinga?" [emoji23]Sio kufulahisha = kufurahisha
Huku shuleni mlienda kusomea ujinga???
Turudi kwenye mada. Urudi Primary tena darasa la 3 ujifunze jinsi ya kuandika matamshi sahihi na rasmi ya lugha ya Kiswahili, alafu ndio uje kuchangia mada na kaka zako. Haya kakojoe ukalale.
Kawaida namuangalia mtu wenu anavyopoteza mudaVipi yakhe..mbona kinyonge sana leo
Sijawai kufikiria hata siku moja atabaki kuwa mgombea tuuuHivi kwa akili zenu mnadhani kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Lissu anawanyoa mmoja mmoja, Wembe ni ule ule! Lissu njia yako ni nyepesi Ikulu mapema tu.Mkuu wewe endelea kushangilia pingamizi la Lisu.
Lisu anvekuwa na akili angewasaidia wagombea wake kwenyw hayo majimbo ambayo ccm imeshashinda,
Sasa kama unasubiri wananchi waje wapige kura basi subiri.
Kila siku huwa tunawaambia humu kwamba ccm iko kimya iko field ndio kombe linakopatiakana. Nyie endeleeni kumshangilia Lisu