Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.

Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?

Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?

Nawaza!!

Update:
Hatimae nimepata link kutoka kwa Hilda Newton kwenye akaunti yake ya Twitter

Ni hii:

https://t.co/l1bisaYy2X?amp=1
Cheki bavicha facebook
 
Lisu nipilitone mbeya ya magufuri
Yaani usicheze na magufuri wee mziki wa magufuri balaaa
 
Lisu na jpm wote ni walemavu kiakili!!Akili zilizozidi ndio ulemavu wenyewe!!ngoja tuone mpambano wa vichaa wenye akili zilizozidi!!!
 
Mkuu wewe endelea kushangilia pingamizi la Lisu.

Lisu anvekuwa na akili angewasaidia wagombea wake kwenyw hayo majimbo ambayo ccm imeshashinda,
Sasa kama unasubiri wananchi waje wapige kura basi subiri.

Kila siku huwa tunawaambia humu kwamba ccm iko kimya iko field ndio kombe linakopatiakana. Nyie endeleeni kumshangilia Lisu
Unaujua mwisho wa watu walioponea chupuchupu kwa kupigwa risasi duniani??
 
Unaujua mwisho wa watu walioponea chupuchupu kwa kupigwa risasi duniani??
Kwamba mwisho wao ni kuwa marais?

Huyo Lisu atakuwa rais wenu wana ufipa na atakuja kuaoishwa na yule beberu wake amsterdam.
 
Nimemsikiliza Lisu, he has a point to ponder. Nchi zenye uhuru, demokrasia ya kweli kama USA, Canada, UK and the like, mtu hapa alikuwa anakwenda na Maji!

Lakini kwa hapa, basi ngoja dunia watuangaze maana sidhani kama haki itatendeka!
 
NEC nao wataongea na waandishi wa habari . Tutagawana vyombo vya habari vya kupata taarifa muda sio mrefu 😂😂😂😂😂😂

Halafu bwana mkubwa kanyamaza tu kimya this time amekuwa mvumilivu au kuna kitu ananyatia 😂😂😂😂😂😂
 
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma

Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020

====

Tundu Lissu amewawekea Pingamizi Wagombea Wawili wa Urais. Amewawekea pingamizi Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF na Dr. John Magufuli wa chama cha CCM.

Hadi muda unaisha, hakuna aliyemuwekea Pingamizi Tundu Lissu. Hivyo kaondoka na kuelekea Ofisi za CHADEMA za Kanda kuongea na Wanahabari.

Zaidi, soma:
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais

Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA
View attachment 1548762View attachment 1548764
Angewekewa pingamizi yeye tungesikia makelele kibaao, oooh wanamuogopa, wamuache waingie ulingoni, wanafiki bwana
 
Yatarudishwa yote hayo.Huu si wakati ule lowassa Bubu aligombea na hajui hata Sheria za uchaguzi zinasemaje, Huyu Mbobezi wa sheria atawashangaza na hamtaamini atakavyoandika Historia mpya. Magufuli mwenyewe na Pole pole sasa hivi wanaugua Opademia Jahazi linazama wakiwa ndani yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Baada ya oktoba 28 mtapoteana humu,

Hivi mwenzio tayari ana mabao 22 wewe una 0 bado unaota ushindi?

Lisu atatia aibu sana mwaka huu
 
Yatarudishwa yote hayo.Huu si wakati ule lowassa Bubu aligombea na hajui hata Sheria za uchaguzi zinasemaje, Huyu Mbobezi wa sheria atawashangaza na hamtaamini atakavyoandika Historia mpya. Magufuli mwenyewe na Pole pole sasa hivi wanaugua Opademia Jahazi linazama wakiwa ndani yake.
Yatarudishwaje sasa?

Wote nyie hamjielewi ndio maana mmekomaa kushangilia mapingamizi ya kijinga ya Lisu.

Huku field wenzenu wanajua nini cha kufanya
 
Naona Mr drama anaendeleza drama, the fact is, hata Magufuli ikitokea amepata dharula gani akashindwa kushiriki kampeni, na Lissu akabaki yeye na wagombea wa vyama vingine, He can't win election. I can see him leaving after this election, he won't forget this year ever
 
Jaribu kufikiria uhakiki wa kila mdhamini kwa wagombe wote ingefanyika pale... Tume ingetumia muda gani kupokea form na kupitisha wagombea.. simple logic tuu
Yatarudishwaje sasa?

Wote nyie hamjielewi ndio maana mmekomaa kushangilia mapingamizi ya kijinga ya Lisu.

Huku field wenzenu wanajua nini cha kufanya
 
Tundu lisu amejawa na chuki Yuko tayari hata damu imwagike akimbilie alipokuwa maana walishamwakikishia ufadhili naamini akili anazotumia sio zake binafsi kuna watu watu wanamchanganya na kuona hii nchi ikingia kwenye machafuko ,urais unatafutwa ila sio kwa njia hio,yaani kila kitu anataka apewe attention ,watanzania tuwe makini mzungu sio MTU wakuaminika sana atakushawishi kwa namna yoyote tuu apate pakuanzia....#watanzania tuwe makini huyu jamaa atatuletea shida kwa kiherehere chakujifanya kujua kila kila kitu vitu vingine havina mantiki
Furaha ya Jana nikilio chaleo mbona hutaangaazi tena wale wabunge wako wakuteouliwa
 
Magu yu juu ya sheria?
hayupo juu ya sheria so far nimgombea , ila kwa hili watu wake wamehujum ,sasa sijui itakuaje, maana hoja zina mashiko thats hata kwenye majimbo zimetumika kuwaengua wabunge , je tume itajinasuaje,
 
Moja kwa mojakwenye tittle. Ninachokiamini na ambacho hamtaamini nikwamba, Tanzania Bara yote inakwenda kuwa "a total Green!" kwa maana ya Wabunge wote kuwa waCCM.

Hii ni either JPM yupo au hayupo kwenye Kinyang'anyiro.

Swali ni hili, Lissu au Membe akishinda Urais, atafanyeje kazi ktk Mazingira kama haya??

Kwa taarifa yako ukiwa rais nchi hii, unaweza kufanya chochote. Hilo bunge hata kama watakuwa wanaccm watupu, unawahonga wachache wanajitoa ccm wanakwenda kuunga juhudi, wale wenye msimamo unawateka hata mauji. Baada ya miezi miwili wabunge wote wanakuwa wa chama chako. Tena wabunge wenyewe ndio hao wasakataji tonge wala huumizi kichwa.
 
Mbona kinyonge sana? Una njaa? Kale

Ujinga kanifundisha mama yako, maana hapo awali nilikuwa na akili.
Sasa kama mama yako kanifundisha ujinga, nyie watoto wake basi mlizaliwa wao!
Mbona umeshikwa na uchungu kama mja mzito sasa ilefuraha yako ya Jana imeishia wapi yakukatika viuono ukishangiria wabunge wako 20 wakuteuliwa
 
Tundu lisu amejawa na chuki Yuko tayari hata damu imwagike akimbilie alipokuwa maana walishamwakikishia ufadhili naamini akili anazotumia sio zake binafsi kuna watu watu wanamchanganya na kuona hii nchi ikingia kwenye machafuko ,urais unatafutwa ila sio kwa njia hio,yaani kila kitu anataka apewe attention ,watanzania tuwe makini mzungu sio MTU wakuaminika sana atakushawishi kwa namna yoyote tuu apate pakuanzia....#watanzania tuwe makini huyu jamaa atatuletea shida kwa kiherehere chakujifanya kujua kila kila kitu vitu vingine havina mantiki

Watanzania maana yake ni kutawaliwa na ccm kwa shuruti? Au unadhani hatuoni wanayofanya ccm ili kutangazwa washindi? Hapa tulipofikia bila machafuko hakuna muafaka.
 
Back
Top Bottom