Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Cheki bavicha facebookNajaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Update:
Hatimae nimepata link kutoka kwa Hilda Newton kwenye akaunti yake ya Twitter
Ni hii:
https://t.co/l1bisaYy2X?amp=1