Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Unazo wewe na familia yako hizo shida,hebu acha ujinga.Shida zipo, nyingi sana mkuu.
Kuanzia hali ngumu ya maisha, hofu inayotokana na kukithiri kwa vitendo vya kinyama dhidi ya watanzania, uminywaji wa demokrasia, kukosekana kwa uhuru wa kujieleza, matumizi mabaya ya vyombo vya dola hususan polisi na idara ya usalama, shida zipo kibao, na hizi zote ni matokeo ya utawala mbovu wa chama cha mapinduzi ambacho kimeiingiza nchi katika umasikini wa kutupwa kwa zaidi ya miaka 50 sasa.
Kwa hivyo ni kweli, sikatai mtaani kwangu kuna shida sana mkuu