Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Nikuulize wewe unayejazwa ujinga na mgojnwa wa akili.watu wametulia tu hawana time nae,si kuna kitu mnakitaka? Mtakipata soon
Acha kutishia watu jinga na mpumbavu ww!
Eti "kuna kitu mnakitafuta, mtakipata"

Huu upumbavu huu, hoja hujibiwa kwa hoja, jinai mtu hupelekwa polisi kisha mahakamani, unatishia tishia watu kumbe unalala sebuleni kwa shemji yako
 
Yaani ukiingia hukunjf ndio kuna mwamko wa siasa ila mitaani na kwengine watu wako bize na maisha. Sikuingia humu kama wiki na maisha ya watu yanasonga bila kelele za siasa. Humu jf ni kama nchi nyingine hivi..
 
Huyu Lisu Lipumba ni PhD na Profesa na JPM ni PhD yeye na mimi tupo sawa tu MSc na LLM aache kujifanya genius
 
Acha kutishia watu jinga na mpumbavu ww!
Eti "kuna kitu mnakitafuta, mtakipata"

Huu upumbavu huu, hoja hujibiwa kwa hoja, jinai mtu hupelekwa polisi kisha mahakamani, unatishia tishia watu kumbe unalala sebuleni kwa shemji yako
Nisingekuwa na jeuri ya kujibu kama ningekuwa nalala kwa shemeji.jeuri ninayo na uwezo ninao,na sijatishia mtu,nasema ukweli.
 
Mbona tayari jamaa ana trend kinoma?hivi ana haja ya kiki?
 
Lissu kafadhaishwa na navyopuuzwa. Alitegemea akirudi "ataghasiwa" ili apate huruma ila wapi. Si polisi wala serikali, hawana taimu nae na kikubwa zaidi wananchi wamempuuza.
these are last kicks of the dying horse....
 
Na Siku zote Mwanadamu kama huyu aliye Mkweli, Muwazi, mpenda Haki na si Mnafiki huchukiwa na Watu ila hupendwa sana tu na Mungu / Allah.
Kiongozi uko vizuri kwa kuwa straight bila kuvuta ngozi kwako. Kiukweli kama tume ilipitisha tu form kwa sababu fulani au kuna makosa ya kiufundi kwenye taratibu za uteuzi, ngoja sheria ichukue mkondo wake. Hii itafanya watu waheshimiane.
 
Ndugu sio mbaya kuendelea kutafuta pa kuegemea. AMEN
 
Je kama mgombea hajui sheria itakuaje
 
Kwa werevu wa Lissu; majibu ya CCM na CUF yanaweza kuwatega mbele ya safari.

Hii ndiyo faida ya mgombea kuzijua sheria za uchaguzi nje ndani .
 
Lissu anawatemesha MATAGA ndoano,
Lissu anakimbiza mwizi wa trillion zetu.
Magufuli umetuita watanzania majina yote ya zarau na matusi juu. Vipi tena kwenye form.?!
Si muweza wa yote, usieshindwa kwa lolote wewe, Jesus wa Lumumba ?!

#NIYEYE #LISSURAIS2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…