Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Lisu hashindi urais mbona hamtaki kulikubali hili?

Wabunge wa Lisu ni hawa
Mdee
Sugu
Msigwa
Heche
Wenje
Lema
Na hapo wafanye mbinde kushinda, haya huho Lisu ataongoza selikali ipi?
 
Watanzania maana yake ni kutawaliwa na ccm kwa shuruti? Au unadhani hatuoni wanayofanya ccm ili kutangazwa washindi? Hapa tulipofikia bila machafuko hakuna muafaka.
Kwa hiyo kule ambako ccm imeshashinda mmechafua? Au mnashangilia pingamizi la kijinga la lisu?
 
Lisu hashindi urais mbona hamtaki kulikubali hili?

Wabunge wa Lisu ni hawa
Mdee
Sugu...

Kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa, cha muhimu ni ushindi halali. Ukiwa rais bunge ni kama kikao cha wanafunzi wa shule ya msingi.
 
Kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa, cha muhimu ni ushindi halali. Ukiwa rais bunge ni kama kikao cha wanafunzi wa shule ya msingi.
Kama huna majority ya wabunge wanaokuunga mkononwanakutimua muda wowote. Ndio maana Lisu kwenye huu uchaguzi anafurahisha genge tu
 
Usione watu wana vyeo vikubwa au wamepewa dhamana ya kuongoza nchi ukadhani wana akili, ni mabwege kwelikweli, hasa hawa viongozi wa CCM:


Tunaongozwa na washamba sana na mahayawani hasa.
 
Maskini Mkapa ndo hivyo ametangulia mbele za haki, muda huu angesha tuita malofa zamaani na kuleta ubabe kuokoa jahazi.

Bishoo wa Msoga kajawa busara,wengine ndo hao wameamua kupiga kimya wamebaki wakuja tu chamani ndio wanahaha kiasi kwamba mpaka yule mwanaharakati kaamua kushoot video mpya. 😂
 
Duh kwa akili hizi hahahahhah.
 
Huo mwenendo ndio uliwapa ccm ushindi wa kishindo uchaguzi wa SM. Tulisema ule ni mchezo wa kijinga lakini ulikaa kimya maana upuuzi ule ulikuwa unaibeba ccm. Toeni sheria za kishenzi kwenye chaguzi zetu, sio mnalilia kwa sheria za kipuuzi mlizoweka.
Mtafutieni tabibu, kama ujasikiliza bado sababu za mapingamizi yake fanya ivyo dah.

Anapingana mpaka na watu wenye mamlaka ya kutunga kanuni wagombea wote walizozitumia; yaani yeye anajua zaidi ya NEC waliotunga hizo kanuni.

This is serious than I thought get the guy medical help.
 
Vipi wale wanoteka wenzao ili wapite kupigiwa kura
 
Kama huna majority ya wabunge wanaokuunga mkononwanakutimua muda wowote. Ndio maana Lisu kwenye huu uchaguzi anafurahisha genge tu
Kumfukuza kazi siyo kiholela hivyo, [SUB]katiba imetoa sababu zinazoweza kutumika kumshitaki rais ya kwanza ni iwapo rais amevunja katiba au amevunja Sheria ya naadili ya viongozi wa umma, pili amefanya jambo linalokiuka Sheria ya vyama vya siasa, tatu ni iwapo Rais anamwenendo unaodhalilisha kiti cha urais[/SUB]
 
Kama huna majority ya wabunge wanaokuunga mkononwanakutimua muda wowote. Ndio maana Lisu kwenye huu uchaguzi anafurahisha genge tu

Hilo bunge wabunge watakutania wapi? Ukishakuwa na nguvu ya kuamrisha vyombo vya dola, yeyote anayekwenda mahali kukusanyika bila ridhaa yako anapata kipigo.

Hayo mambo Magufuli ndio kaonyesha miaka hii yote mitano, kuwa rais ndio anaamua atakavyo na wengine wote wanafuata. Mtengeneze precidence mbaya ya utii wa sheria na katiba, kisha mtegemee wengine watafuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…