Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu hashindi urais mbona hamtaki kulikubali hili?Kwa taarifa yako ukiwa rais nchi hii, unaweza kufanya chochote. Hilo bunge hata kama watakuwa wanaccm watupu, unawahonga wachache wanajitoa ccm wanakwenda kuunga juhudi, wale wenye msimamo unawateka hata mauji. Baada ya miezi miwili wabunge wote wanakuwa wa chama chako. Tena wabunge wenyewe ndio hao wasakataji tonge wala huumizi kichwa.
Kwa hiyo kule ambako ccm imeshashinda mmechafua? Au mnashangilia pingamizi la kijinga la lisu?Watanzania maana yake ni kutawaliwa na ccm kwa shuruti? Au unadhani hatuoni wanayofanya ccm ili kutangazwa washindi? Hapa tulipofikia bila machafuko hakuna muafaka.
Mkuu huishi maisha halisi maana unatumia ubongo wako 0.05%Shauri yako...
Mkuu ni wabunge wateule tayari. SIASA ni sayansi. Mnakopambana huko hamtatoboa na mkirudi mnajikuta mna wabunge 2.
Lisu hashindi urais mbona hamtaki kulikubali hili?
Wabunge wa Lisu ni hawa
Mdee
Sugu...
Kama huna majority ya wabunge wanaokuunga mkononwanakutimua muda wowote. Ndio maana Lisu kwenye huu uchaguzi anafurahisha genge tuKwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa, cha muhimu ni ushindi halali. Ukiwa rais bunge ni kama kikao cha wanafunzi wa shule ya msingi.
siku jiwe akikatwa nitatembea uchi wa mnyama tokea iyunga had uyoleMara paaap Magufuli kaondolewa kuwa mgombea
Sawa mkuu. Jiandae kulia 28.Shida nyinyi watu vichwa vyenu ni vizito sana.Hizi siasa za magu ni sayansi au upuuzi? Mabavu ya vyombo vya dola ndio sayansi!
Duh kwa akili hizi hahahahhah.Kwa taarifa yako ukiwa rais nchi hii, unaweza kufanya chochote. Hilo bunge hata kama watakuwa wanaccm watupu, unawahonga wachache wanajitoa ccm wanakwenda kuunga juhudi, wale wenye msimamo unawateka hata mauji. Baada ya miezi miwili wabunge wote wanakuwa wa chama chako. Tena wabunge wenyewe ndio hao wasakataji tonge wala huumizi kichwa.
CCM wangepotezea?Mimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi.
Mtafutieni tabibu, kama ujasikiliza bado sababu za mapingamizi yake fanya ivyo dah.Huo mwenendo ndio uliwapa ccm ushindi wa kishindo uchaguzi wa SM. Tulisema ule ni mchezo wa kijinga lakini ulikaa kimya maana upuuzi ule ulikuwa unaibeba ccm. Toeni sheria za kishenzi kwenye chaguzi zetu, sio mnalilia kwa sheria za kipuuzi mlizoweka.
Vipi wale wanoteka wenzao ili wapite kupigiwa kuraBAVICHA TAIFA,
Yaonekana pana mtu alikuwa kapanga kufika tume kimya kimya mida ya 16:00 na mapingamizi lukuki.
Kutoa ngoma droo, ilipaswa kwenda mwendo huo huo wa kimya kimya na mida pendwa ya16:00.
Suluhu twende tu kwa wananchi.
Tukubaliane tu bandugu mizengwe sasa, - basi.
Kumfukuza kazi siyo kiholela hivyo, [SUB]katiba imetoa sababu zinazoweza kutumika kumshitaki rais ya kwanza ni iwapo rais amevunja katiba au amevunja Sheria ya naadili ya viongozi wa umma, pili amefanya jambo linalokiuka Sheria ya vyama vya siasa, tatu ni iwapo Rais anamwenendo unaodhalilisha kiti cha urais[/SUB]Kama huna majority ya wabunge wanaokuunga mkononwanakutimua muda wowote. Ndio maana Lisu kwenye huu uchaguzi anafurahisha genge tu
Nadhani hii slogani magamba hawakuielewa walidhani watatumia kuteka kama wanavyofanya waoUonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!
Kama huna majority ya wabunge wanaokuunga mkononwanakutimua muda wowote. Ndio maana Lisu kwenye huu uchaguzi anafurahisha genge tu