Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Ninyi ndio wajinga mliobakia nchi Rais sio mkubwa kwa katiba na sheria za nchi
 
Naona ocd wa morogoro umehamaki vibaya
 
Yule aliyekosea kujaza fomu na ni PhD tena mweshimiwa na akiwa majukwaani anaona wengine wote ni vilaza wa nchi
Acha ujinga wewe inaelekea hata hujui kinachoendelea huko NECCCM Tumeccm, Tambua kuwa licha figisu figisu za CCM kule NECCCM wapo watumishi wanampenda Tundu lisu wamempa taarifa kuwa kawekewa pingamizi na CCM, Lipumba , Shibuda na wengineo ambao wamenunuliwa na CCM kwa njia haramu ndipo na yeye kaamua kuweka pingamizi haraka, sasa ngoja mapingamizi yagongane huko huko ili CCM wapate kujifunza kuwa figisu figisu za kishamba huleta mlolongo mwingine usio na Tija kwa Taifa,
 
..kwa vyovyote vile aliyeondoa ulinzi area D, dodoma, eneo aliposhambuliwa tundu lissu, ni mtu mwenye madaraka makubwa.
Na wewe sasa unakuwa kama Lissu living in the past you can’t change what happened that’s the notion which needs to hit home, ili aweze kwenda mbele psychologically. If not akishindwa uchaguzi hayo matatizo yake yanaweza ku develop into other more serious forms of stress.
 
Tukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!

Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.

Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
 
Subiri awatekenye mpate akili
 
Kumbe
 

Safi sana. Mpaka kieleweke. Ni Mhe. LISSU atakayeikomboa nchi hii na ujinga mwingi wa kimazoea na kimfumo uliojengwa na fisiemu kwa miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…