Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Lazima watakuwa na yeye wamemuwekea pingamizi, sasa hapo ndiyo weka ugoko niweke chuma safi sana Lisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati nini? Uso kwa uso????? Yaaani Ana kwa ana???? We acha zako hizo. Inabidi bunge lifufuke kwanza lirekebishe hicho unachosema ndipo uchaguzi uendelee. Yaaani Magufuli aangaliane na Lisu live bila chenga???, Si watarushiana maneno hao? Haya, nyie jifanye mnafuata sheria, kanuni na taratibu,Nililisema hili jana. Nikasema:
Kwa hiyo kuna uwezekano Lissu anaweza kumuwekea pingamizi Magufuli siku ya kesho.
Hali hiyo itamlazimisha Magufuli arudi ofisi za Tume kujibu madai ya Lissu na hilo litawakutanisha mahasimu hao uso kwa uso. Juhudi za ziada zilitumika kuepusha hilo kwenye mazishi ya Mkapa, sioni kwenye hili kama wataweza kuzuia.
Hii inanikumbusha Ali vs. Foreman.
Uchaguzi huu utakumbukwa kwa vizazi vingi. Natumaini vurugu zikome tupambane kwa hoja na mbinu za amani za kisiasa.
Siku zote wasomi na wataalamu kama Lissu huenda kinyume na washamba na wajingaWatu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Unajuaje kama hajawekewa,CCM hawaaminiki,ni kwenda nao kibabe tuNashauri angeacha tu, kwa kuwa yeye hajawekewa angetulia
VP mbona musha anza kujambaMbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
Si mpaka uwe na uwezo na hoja za kumuwekea .Lazima watakuwa na yeye wamemuwekea pingamizi, sasa hapo ndiyo weka ugoko niweke chuma safi sana Lisu
Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Raisi anaendelea kushika mpini alafu tundu lisu anakimbia tena watu wasiojulikana mpaka uchaguzi utangazwe tena ndo aje.Ukiona hivyo,uje nae wamemuwekea pingamizi hivyo hii ni hatua mojawapo ya kujihami.
Wakitaka kumuengua,basi nao hao wengine(hasa Mfalme) nao waenguliwe na hapo ndio patakuwa pagumu na kwahiyo mchezo utaishia hapo.
Dereva ameingiaje ktk pingamizi ya uraisComedy tu
Alete na dereva wake tuone ukweli wake
Naona mambo yanazidi kunoga na kuweka historia kwa TANZANIA toka Utawala wa awamu ya kwanza mpk sasa Awamu ya Tano ,kuna jambo la kujifunza hapa kwa sasa.Tuendelee kusubiri nini hatima ya haya yote.