Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Nililisema hili jana. Nikasema:

Kwa hiyo kuna uwezekano Lissu anaweza kumuwekea pingamizi Magufuli siku ya kesho.

Hali hiyo itamlazimisha Magufuli arudi ofisi za Tume kujibu madai ya Lissu na hilo litawakutanisha mahasimu hao uso kwa uso. Juhudi za ziada zilitumika kuepusha hilo kwenye mazishi ya Mkapa, sioni kwenye hili kama wataweza kuzuia.

Hii inanikumbusha Ali vs. Foreman.

Uchaguzi huu utakumbukwa kwa vizazi vingi. Natumaini vurugu zikome tupambane kwa hoja na mbinu za amani za kisiasa.
Ati nini? Uso kwa uso????? Yaaani Ana kwa ana???? We acha zako hizo. Inabidi bunge lifufuke kwanza lirekebishe hicho unachosema ndipo uchaguzi uendelee. Yaaani Magufuli aangaliane na Lisu live bila chenga???, Si watarushiana maneno hao? Haya, nyie jifanye mnafuata sheria, kanuni na taratibu,
 
Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Tulieni dawa iwaingie
 
Ukiona hivyo,uje nae wamemuwekea pingamizi hivyo hii ni hatua mojawapo ya kujihami.

Wakitaka kumuengua,basi nao hao wengine(hasa Mfalme) nao waenguliwe na hapo ndio patakuwa pagumu na kwahiyo mchezo utaishia hapo.
Raisi anaendelea kushika mpini alafu tundu lisu anakimbia tena watu wasiojulikana mpaka uchaguzi utangazwe tena ndo aje.
 
Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
 
Back
Top Bottom