Cha kwanza atakachokutana nacho ni harufu mbaya ya uchafu wa mji wa Dar.Akaribu sana nchini mwake mumpitishe kule terminal 3 mpya na pale tazara barabara ya juu mwonyesheni na rell ya tren ya mwendo kasi alafu mleteni na ubungo flyover nyoosheni aone utengenezaji wa barabara 6 kianzia kimara hadi chalinze msisahau kumpelea kule sitigilazi geji inakotengenezwa alafu mkirudi mkapige pige nae picha pale daraja la salenda ( angalieni asipotee )kisha muulizeni ana la kusema?alafu ndio mkampumzishe kwanza akusanye nguvu kidogo ya kupiga kampeni ili asije kudondoka jukwani kwa kukosa nguvu maana saa hivi kijeshi tunasemaga ni unfit.
Nasikia mmekesha wewe na kikundi chako mkiwa kwa sangoma kupika ndumba za kumroga apagawe na juzi Le mutuz karopoka kwa mademu kuwa cyprian Musiba alimwambia watamfanyia shambulio tena wakishindwa watambambikia kesi kama 100 afungwe na akiwa jela watampandikizia mgonjwa wa corona afie jela watangaze kaja na Corona toka Ulaya, Mipango yenu yote chini ya uratibu wa Naibu Rais ndugu Daud Bashite imevujishwa na Le mutuz na cyprian Musiba hakuna siri tenaNdio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]
Hujui utaratibu? Haiwezekani kutoa wagombea wawili toka baraHapa nauona mgongano wa kimasilahi kati ya chadema na Act wazalendo...
Chadema najua bila shaka Lissu atakua mgombea wao na Nyalandu mgombea mwenza ila sasa ACT watashindwa kusapoti Chadema maana wao wanamtaka Membe na Chadema sidhani kama watamuhitaji Membe.
Matumaini ya hivi vyama kushirikiana hayapo...
Mambo yasiwe Mengi na Mengi yasiwe mambo
CCM wamewatuma cyprian Musiba le mutuz na kikundi chao kumhujumu kwa kila hali, mkiwaona hao watu huko Dar mitaani wapeni laana yao mapema kabsaAcha aje tuone, the more he stay there ccm wataendelea kuchonga sana
Mwambieni hana chake huku, upinzani wanaenda ma membe laa sivyo aje awagawane kura...Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Rais mkapa alimaliza kipindi cha pili akiwa mlemavu na hata Rais mwai kibaki wa kenya alifanya kampeni akiwa kwenye while hair na alipoingia ikulu akawa ni mlemavu wa kudumuKuna walemavu kibao wanapigiwa kura. Tena huo ulemavu aliopatiwa na wanasiasa mabaradhuli, tunamnyimaje kura kwa mfano?
Mwacheni aje acheni kumsemea acheni njama za kumbambikia kesi kibao acheni njama za kumhujumuMwambieni hana chake huku, upinzani wanaenda ma membe laa sivyo aje awagawane kura...
Hofu yake ndio tatizo lake. Adui yake akaangalie kwenye kioo atamuona..Mwacheni aje acheni kumsemea acheni njama za kumbambikia kesi kibao acheni njama za kumhujumu
Hujui utaratibu? Haiwezekani kutoa wagombea wawili toka bara
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
His safety is of paramount importance we had witnessed Benino Acquino of Philiipines being assassinated on arrival at airport in Manila.....Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Wewe mbweha kichwani umejaa kamasi ni mbumbumbu juha zuzu kilaza hujielewi kutwa kuvuta Bangi kukesha kukariri ujinga kwa cyprian Musiba unawezaje kujua Mwanasheria mzuri au mbaya? Si mpaka uwe na Akili ndipo utajua kitu kizuri kibaya? Wewe akili za kufuga hata sungura huna unawezaje kujua chochote? Waache CCM wanaojielewa wajenge Hoja za msingi tujibizane nao wewe endelea kuvuta Bangi huko gheto kwa le mutuz, wewe ndiyo kichwani upo zero Bangi zimekuharibu.Chadema kwenye procedures na organization wako zero pamoja na kujitia ohh Wana wanasheria nguli Koko Kama Tundu lisu Ina maana hata Tundu Lisu na uanasheria wake Koko hakujua kuwa kuomba kugombea Uraisi Chadema unatakiwa uchukue form yeye aliibuka Tena hadi mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ohh nimeandika barua kamati kuu ya kuomba kugombea uraisi kupitia Chadema!!!! Mwanasheria asiyejua hata taratibu za chama chake za kugombea uraisi Tena Makamu mwenyekiti Chadema taifa Halafu kichwani yuko zero hajui taratibu za chama aiseeerr!!! Very interesting
Pure evil. Just be aware that you will ripe what you soared.Na yale magongo nani ampe Kura. Bavicha mtapata tabu sana awamu hii.
Zamani kabla ya kuanza kuvuta Bangi ulikuwa ukijua kujenga hoja, sasa kichwa chako kimejaa moshi wa Bangi umejitoa fahamu zote unajiandikia ujinga pasipo kutafakari kwanzaChadema kwenye procedures na organization wako zero pamoja na kujitia ohh Wana wanasheria nguli Koko Kama Tundu lisu Ina maana hata Tundu Lisu na uanasheria wake Koko hakujua kuwa kuomba kugombea Uraisi Chadema unatakiwa uchukue form yeye aliibuka Tena hadi mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ohh nimeandika barua kamati kuu ya kuomba kugombea uraisi kupitia Chadema!!!! Mwanasheria asiyejua hata taratibu za chama chake za kugombea uraisi Tena Makamu mwenyekiti Chadema taifa Halafu kichwani yuko zero hajui taratibu za chama aiseeerr!!! Very interesting
Kumbe ni sera ya CCM kuona walemavu hawawezi kupewa nafasi?Na yale magongo nani ampe Kura. Bavicha mtapata tabu sana awamu hii.
ipo mipango mingi ya kumdhoofisha Tundu lisu ndiyo maana mungu kuifunua baadhi kupitia uropokaji wa Le mutuz msiri na mashauri mkuu wa Naibu Rais Daud BashiteWajuba hawachelewi kusema anga la nchi limefungwa na mipaka pia ili kudhibiti Covid ili tu Lissu asikanyage.
Kuna uwezekano hata huo mkutano mkuu asihudhurie!
Wadhamini wake wameshaiomba mahakama itoe hati ya kumkamata.
Kama Victoire Ingabire vile,siku anatua tu Segerea hii hapa!
Angekuwa smart angesharudi toka mwaka jana ku-clear hivi vikesi tofauti na ilivyo sasa!
Lissu mawakili/waendesha mashitaka wa serikali wao wenyewe wanauelewa mziki wake mahakamaniMimi binafsi ninamuunga tu mkono Mh. Lissu kutokana na harakati zake na kwa namna alivyo pambana na Magufuli bila hofu ya aina yoyote ile kabla ya kushambuliwa. Mambo ya kumpitisha kuwa mgombea, ni masuala ya ndani ya chama chake. Mimi si sehemu ya hicho chama.
Kuhusu kulala lock up, hizo ni mbwembwe tu za policcm ili wajikoshe kwa bwana wao! Ninachofahamu, kesi zake si za mauaji! Ni zile za kutaka tu kumnyamazisha. Zina dhamana na uzuri atarudi nchini akiwa na uthibitisho wa vyeti vya kimatibabu vya matatizo yake.
Usisahau pia Tundu Lissu ni Wakili na Mwanasheria wa kiwango cha Kimataifa! Hivyo sidhani kama kuna wa kumbabaisha siku ya kutinga huko mahakamani.