Cyprian Musiba kasema wamepanga kumkamata kabsa alale jela pamoja na wagonjwa wa corona kisha wasingizie kaja na corona toka ulayahapo RPC wa Darisalama LAZIMA azuie mapokezi ya Lisu kwasabb za kiintelijensia!!!.
Kaona Membe anataka kumnyanganya tonge mdomoniTaarifa mbaya sana hizi kwa MATAGA wa ccm.
Membe ni sehemu ya mfumo wa CCM tangu huko 80's alipoanza kazi kwny 'ofisi ya rais'.Hapa nauona mgongano wa kimasilahi kati ya chadema na Act wazalendo...
Chadema najua bila shaka Lissu atakua mgombea wao na Nyalandu mgombea mwenza ila sasa ACT watashindwa kusapoti Chadema maana wao wanamtaka Membe na Chadema sidhani kama watamuhitaji Membe.
Matumaini ya hivi vyama kushirikiana hayapo...
Mambo yasiwe Mengi na Mengi yasiwe mambo
Mahakamaccm wamepanga afanyiwe chamber ili kukiwa na ukiukaji wa Sheria watanzania washindwe kupata taarifa, njama za kulala jela na mgonjwa wa corona zimepagwa na boss wake cyprian Musiba.Lissu mawakili/waendesha mashitaka wa serikali wao wenyewe wanauelewa mziki wake mahakamani
Una uhakika kwa sasa kuna mtu ana shauku ya kumsikia?Nawe ungekua Smart ungejua timing ni kila kitu kwny siasa,angekuja mwaka jana mpk sasa hivi hakuna mtu angekua na shauku ya kumsikia tena(ameshazoeleka).
Nataka nikirudi Dar isimame kakaa!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Moyo wa mtukufu una betri na pia kiafya ni mlemavu hata mbatia wa NCCR ni mlemavu lakini hawajawahi kuona ulemavu huoKumbe ni sera ya CCM kuona walemavu hawawezi kupewa nafasi?
Itabidi walemavu nchini wajulishwe namna wanavyofikiriwa na Chama chenu.
Good Technik ya kuwaondoa CCM kwenye reli,wao wataanza kupanga mikakati ya kumpiga risasi lissu kwa mara ya pili akitua nchini na kuacha kupambana na chadema wakija kustuka Membe kashaingia UKAWA 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀!!!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Hivi Mbatia ni Ulemavu wa Mguu wa Tatu hausimami kwasababu ya mambo ya kameruni aliyokuwa anafanyiwa kipindi cha nyuma au miguu miwili ilivyozingua miaka kama miwili iliyopita hajapona vizuri?Moyo wa mtukufu una betri na pia kiafya ni mlemavu hata mbatia wa NCCR ni mlemavu lakini hawajawahi kuona ulemavu huo
Una uhakika kwa sasa kuna mtu ana shauku ya kumsikia?
Ni kipi ambacho Lisu hajakisema kupitia media akiwa huko huko hadi watu wasubiri kukisikia?
Hii timing anayoifanya Sasa ni mbovu zaidi kuliko angekuja last year akazoeleka!
Ataishia Segerea tu!
Hatakuja kama Tundu Lissu atakuja kivyengine zadi
Chadema kwenye procedures na organization wako zero pamoja na kujitia ohh Wana wanasheria nguli Koko Kama Tundu lisu Ina maana hata Tundu Lisu na uanasheria wake Koko hakujua kuwa kuomba kugombea Uraisi Chadema unatakiwa uchukue form yeye aliibuka Tena hadi mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ohh nimeandika barua kamati kuu ya kuomba kugombea uraisi kupitia Chadema!!!! Mwanasheria asiyejua hata taratibu za chama chake za kugombea uraisi Tena Makamu mwenyekiti Chadema taifa Halafu kichwani yuko zero hajui taratibu za chama aiseeerr!!! Very interesting
Hahah sijui ni ile tabia yake ya kuongea amebinua midomo juu ndo ilifanya wananzengo wakajua huyu mzee min-kabang ni kushnei,hahah.Hivi Mbatia ni Ulemavu wa Mguu wa Tatu hausimami kwasababu ya mambo ya kameruni aliyokuwa anafanyiwa kipindi cha nyuma au miguu miwili ilivyozingua miaka kama miwili iliyopita hajapona vizuri?
Taarifa mbaya sana hizi kwa MATAGA wa ccm! maana huyu ndiye kiumbe pekee aliyeweza kum challenge Magufuli hadharani kiasi cha kushambuliwa mchana kweupe kule Dodoma na watu 'wasiojulikana'
Kwa mbali anafuatiwa na Zitto.
Tena safari hii watammaliza kabisa.Wabaya wa lissu wapo ndani ya chama awe makini akirudi wasije kumdhuru tena
Una uhakika kwa sasa kuna mtu ana shauku ya kumsikia?
Ni kipi ambacho Lisu hajakisema kupitia media akiwa huko huko hadi watu wasubiri kukisikia?
Hii timing anayoifanya Sasa ni mbovu zaidi kuliko angekuja last year akazoeleka!
Ataishia Segerea tu!
Tena safari hii watammaliza kabisa.
Unafikiri kuna mtu anasubiri hata kusikia Magu ataongea nini 2020?Wewe unadhani Alivyokua Magu 2016 anang'aa kila mtu anamsikiliza mpk upinzani ukawa kama umekufa unaweza kumlinganisha na Magu wa 2020.
Kwani ni kitu gani ambacho Magu hajakisema ambacho wananchi hawakijui/watataka kukisikia?SGR/Stigler's/Utumbuaji Wafanyakazi hewa/barabara/Atcl au ni kitu gani hicho?