Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Lisu na Lema waoga. Heri hata mnyika
Hata ungekuwa ni wewe..Risasi zaidi ya 30 unadiriki kumuita Muoga? Basi uoga una maana nyingine tusiyoijua.
Katika Tanzania huru, Lissu ana mengi kuliko mtu yeyote, ya kusimulia utawala wa JPM.

Man this guy saw death and defied it! Maisha marefu kwake….

Apumzike kwa Amani Hayati JPM.
 
Mwambieni Bashite aandae vizuri kinyieeeooo chake watoto wa magomeni bado hatujasahau alivyokuwa anajifanya yeye pilato hapa daslama tutamla mzima mzimaa
 
Akikujibu unitag mkuu
Niko safarini naelekea chattle
 
Kiukweli pamoja na mazuri yote ya Magufuli ila nikifikiria ishu ya lissu hata majonzi yanapotea, walimfanyia unyama sana, risasi zile na bado walioguswa nae mitandaoni walidhibitiwa marafiki zake wakanyanyaswa ikafikia hatua watanzania kumchangia matibabu na maisha yake, stahiki zake akanyang'anywa, kama Mungu tunayemuita yupo basi msishangae lissu akakalia kiti alichokuwa amekalia marehemu Magufuli,,
 
Lissu uraisi atausikia tu.
 
Hivi wale waliokamatwa kwa kosa la kueneza uvumi eti rais anaumwa, hatma yao inakuwaje?
Kihelele kimewaponza wanafikiri kila taarifa ni ya kutoa kwa kuwa umejua, kila kitu kinamipika na miiko.
Usimuige tundu lissu kwa kuwa alisema yeye ni mwanasiasa na inawezekana kwa kusema hayo ni sehemu ya kutengeneza status yake katika kazi yake, sasa wewe kajambanani mmoja kutoka chifutuka kihelele cha nini? Walio kamatwa wafanywe lolote tu kulingana na sheria itakuwa sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…