Anza mdaa huu mmechosha ,Yani mkiwa chama kimoja ni nyie mlipitisha vyama mbadala,na maana yake ipo siku mtakoma kushika dola na wataongoza wengine.
Leo mnakabwa koo mwawaona hao mliowapisha ni Kama hawana hualali huo,
Sasa nawambia mungu hunena na Kila mja wake mengi amenena juu ya taifa hili ,na naenda kufunga siku 14 ,sijawai lakini lazima nitimize maagizo yake ,Kama kweli binadam ni zaidi ya mungu Basi ila Kama sio kweli Basi mungu atamleta rais anaemtaka na si binadam anaye mtaka ,kesho naanza mfungo juu ya taifa langu
When Chadema say it’s about patriotism, the love of country and God, and for the least among them. It doesn’t mean none of those things could be true, but they are usually collateral - coincidental. Chadema and Lissu does it for power. He does so with lust and enthusiasm.Brother try to Google Johannesburg or cape Town please. We are talking about people's lives not buildings and roads. Anyways ipo siku atakuja kujua kua damu ya binadamu inathamani kuliko Tanzania nzima na mjengo yake..
Mama yakoKwa hiyo risasi 16 hawakumpiga vizuri.
Mataahira wengine bhana.
You are trying to reason somehow right, but like many who need to develop, fails to get proper advise as to how one can move from where you are now.Brother try to Google Johannesburg or cape Town please. We are talking about people's lives not buildings and roads. Anyways ipo siku atakuja kujua kua damu ya binadamu inathamani kuliko Tanzania nzima na mjengo yake...
Wewe usimlinganishe Mhe Rais wa nchi na vitu vya kijinga.Nou
Wewe ni Mpuuzi Kama walivyowapuuzi wengine, Mgombea wenu anasimama kila mahali hajawahi kupingwa mabomu. Mwaka huu jino kwa jina jeshi la mtu mmoja TL ananyoosha= polisi+Nec+ccm
Hata akeshe anadhikiri uchi Lissu hatakua, hawezi na hana sifa za kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania, kwanza ni kichaa mwenye faili hoapitali ya vichaa mirembeEven if you lose your patience to the death limit, nothing is going to stop Tundu Lissu to get what he wants...!!
Mbona jiwe hana sifa lakini tunaye, kumbuka tuliambiwa Anafaa kuwa mnyamparaHata akeshe anadhikiri uchi Lissu hatakua, hawezi na hana sifa za kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania, kwanza ni kichaa mwenye faili hoapitali ya vichaa mirembe
You seems to be fan of argumentsYou are trying to reason somehow right, but like many who need to develop, fails to get proper advise as to how one can move from where you are now.
If you don t mind leave your contact in my inbox. You can google to know me for authentification, I am verified member.
Accept my kindest personal regards.
Hata akeshe anadhikiri uchi Lissu hatakua, hawezi na hana sifa za kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania, kwanza ni kichaa mwenye faili hoapitali ya vichaa mirembe
Misukule bana! ona hili, sasa umefikia hatua ya kumfananisha na Yesu!! Sasa hebu tupeni idadi kamili ya risasi alizopigwa, je ni 38, 16, 46 au? na za kichwa alipigwa ngapi? usikute ndio maana watu wanaenda kuona majeraha ya risasi zisizojulikana idadi, nyie mkadhani ni wapiga kura!!Risasi zenu za AK47 na SMG jumla 38 kumuua, nani alizuia sumu yake isimuue?
Ukimjua, kuwa ni yule aliyeshinda KIFO na MAUTI; Kama ukijua kuwa ni yule ambaye HAKUNA GUMU LOLOTE LINALOWEZA KUMSHINDA, basi utajua kuwa MAGUFULI na CM walishanyang'anywa KIBALI cha uongozi wa nchi hii...!!
Huyu mwanaume siyo lowasa,police wajitafakari sana wana dili na mtu ambaye amechungulia kaburi akarudi
Ndo maana nakosana na ninyi mashabiki. tatizo siyo kupigwa mabomu maana siyo mara ya kwanza. Tuambie sababu! Kama ni yeye Lissu amekuwa mpuuzi naye aambiwe kuacha upuuzi. Kama ni polisi wamekuwa wapuuzi, nao waache upuuzi. Kupiga kelele na kuamini nchi itasimama kwa mabomu ya Tarime huo ni upuuzi wa mwandishi.Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, hakuna mabomu wala risasi za kutuzuia!! Hatutishwi!
For English Audience
Our convoy has been subjected to a massive teargas attack by the Police in Nyamongo, in attempt to block our route heading to our campaign meeting. Our supporters have equally been brutally caned and hurt. Let them bomb us and shoot us, but we shall never back down!!
TARIME: POLISI WAKANUSHA KUSHAMBULIA MSAFARA WA LISSU BALI WALIKUWA WAKIWADHIBITI WALIOKUWA WAKIWARUSHIA MAWE ASKARI
Kamanda wa Polisi, ACP William Mkonda amesema msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA haujashambuliwa
Amesema wao wamewapiga mabomu ya machozi watu waliokuwa wanawarushia mawe Askari wa Jeshi la Polisi na hadi sasa Msafara wa Tundu Lissu upo njiani kuelekea Serengeti na unaongozwa na Polisi
Kuhusu usalama wa Mgombea amesema kuwa tangu jana Mgombea huyo alipofika Tarime amekuwa salama na anaondoka salama
View attachment 1583600
Misukule bana! ona hili, sasa umefikia hatua ya kumfananisha na Yesu!! Sasa hebu tupeni idadi kamili ya risasi alizopigwa, je ni 38, 16, 46 au? na za kichwa alipigwa ngapi? usikute ndio maana watu wanaenda kuona majeraha ya risasi zisizojulikana idadi, nyie mkadhani ni wapiga kura!!
Hutaelewa wewe...
Mkubwa, funguka, toka ndani ya pipa ulimofungikiwa...
Hebu mtenge Magufuli wako hapo mbele yako na tumchape risasi za SMG 2 tu za kiunoni na kisigino uone kama atakuwa hai japo kwa masaa mawili tu...
Sijui ni kwanini MATAGA na LB7 ni wagumu kuelewa na kuutukuza utukufu na maajabu ya Mungu muumba wetu kwa kuukoa uhai wa kiongozi mteule wake wa taifa la Tanzania ndg Tundu Lissu...
Hebu mwombeni Mungu awasaidie kuufunua ufahamu wenu...
Yaani unasahau madaktari wa kwanza kumuokoa ni wa serikali misukule bana