Tayari anatapatapa si umeona mara amtume Polepole kuwaita wapinzani misukule mara amtume mkurugenziccm wa Tumeccm kupiga kampeni kwenye madini mahala ambapo kamweka waziri mbunge wa chato wanapiga pesa kimya kimya huku wakitembeza mikwara watu waogope kuwahojiMagufuli out.Hivi hakuna mtu wa kujitoa mhanga akaondoka na Magufuli ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magufuli out.Hivi hakuna mtu wa kujitoa mhanga akaondoka na Magufuli ?
Amani ipi unayozungumzia wewe?hii ya watu kuuawa na kutupwa kwenye viroba ufukweni,ya kuteka watu na kuwatesa?ya kushambulia kwa risasi? au ya kubambika watu kesi?Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Akili zako na huyo Lissu sawa sawa. Unataka aachiwe asimame katikati ya barabara kama raisi wa nchi? Tena ka audience chenyewe cha watu 200-300 kisa tu ku entertain his mental health issues yeye na raisi wa nchi ni watu sawa.Wewe ndiyo mtambo nani akubaliane na wewe mjinga?
CCM hawana huruma na Lissu na yeye lazima akomae nao kisawasawa bila kuwapa nafasinayeye ameamua kufanya kila kitu ni mkondo wa kwenda nao.
nimemsikia anapiga marufuku majaliwa kumpigia debe magu[emoji2][emoji2].labda ni kweli sheria inasema hivyo but sidhani kama ni muhimu sana kwa yeye kusemea hilo.
aendelee na spana za msingi,maana hata asiposhinda atakumbukwa kwa kuikumbusha ccm mambo ya msingi.
Bunge lilivunjwa baraza la mawaziri lilivunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wapo maofisini kinyume cha Sheria hata Majaliwa anazunguka nchi nzima akijidai ni waziri mkuu, CCM acheni ushetani wenu mna vyombo vyote vya dola lakini bado hamjiamini mnaendelea kuwahujumu chademaAkili zako na huyo Lissu sawa sawa. Unataka aachiwe asimame katikati ya barabara kama raisi wa nchi? Tena ka audience chenyewe cha watu 200-300 kisa tu ku entertain his mental health issues yeye na raisi wa nchi ni watu sawa.
I think his honeymoon period should be brought to the end as days go Lissu is becoming a real pest.
Tafadhali toa elimu hii kwa wana lumumba wenzako!Mimi siyo mwanasheria lakini najua mgombea yoyote iwe wa urais, ubunge au udiwani akivuruga ratiba au utaratibu malalamiko yanapelekwa tume ya uchaguzi mara moja.
Hili halihitaji mgombea kuwaelimisha polisi halafu wanamruhusu aendelee na tukio.
Maendeleo hayana vyama!
Mi sijawahiona unaongea la maana humu. Tabia yako imeshapita kiwango cha wachawi hufai hata kuitwa mwanadamuSafi sana, big up, kama ni kweli, ...
Kutoka eneo la tukio
What a load of nonsense, kuendelea kumchekea Lissu ni ku entertain his fantasy; yaani azuie shughuli za watu wengine barabarani kisa tu kichwani kwake anajiona ni sawa na raisi.Bunge lilivunjwa baraza la mawaziri lilivunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wapo maofisini kinyume cha Sheria hata majaliwa anazunguka nchi nzima akijidai ni waziri mkuu, CCM acheni ushetani wenu mna vyombo vyote vya dola lakini bado hamjiamini mnaendelea kuwahujumu chadema
What a load of nonsense, kuendelea kumchekea Lissu ni ku entertain his fantasy; yaani azuie shughuli za watu wengine barabarani kisa tu kichwani kwake anajiona ni sawa na raisi.
This joke has gone too far.
Wewe ni unajua mambo, huyu Tundu Kakulia wapi yeye hajui amani nini na haki nini?Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa