Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Magufuli out.Hivi hakuna mtu wa kujitoa mhanga akaondoka na Magufuli ?
Tayari anatapatapa si umeona mara amtume Polepole kuwaita wapinzani misukule mara amtume mkurugenziccm wa Tumeccm kupiga kampeni kwenye madini mahala ambapo kamweka waziri mbunge wa chato wanapiga pesa kimya kimya huku wakitembeza mikwara watu waogope kuwahoji
 
Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Amani ipi unayozungumzia wewe?hii ya watu kuuawa na kutupwa kwenye viroba ufukweni,ya kuteka watu na kuwatesa?ya kushambulia kwa risasi? au ya kubambika watu kesi?

Tuonyeshe huo uchonganishi wa Lissu hapa?
Hii Tanzania ina amani au ina watu wavumilivu tu?

Kwa taarifa yako mtu anayetuchonganisha watanzania tunamfamu vizuri sana,Kazi yake anazunguka majukwaani na kusema kinafiki kwamba "maendeleo hayana vyama" wakati huo huo anasema msichague wapinzani,wala wapinzani wakiumwa msiende kuwaona hospitali.

Huyo ndiye mchonganishi "Mkuu" nchi hii
 
Wewe ndiyo mtambo nani akubaliane na wewe mjinga?
Akili zako na huyo Lissu sawa sawa. Unataka aachiwe asimame katikati ya barabara kama raisi wa nchi? Tena ka audience chenyewe cha watu 200-300 kisa tu ku entertain his mental health issues yeye na raisi wa nchi ni watu sawa.

I think his honeymoon period should be brought to an end as days go Lissu is becoming a real pest.
 
nayeye ameamua kufanya kila kitu ni mkondo wa kwenda nao.

nimemsikia anapiga marufuku majaliwa kumpigia debe magu[emoji2][emoji2].labda ni kweli sheria inasema hivyo but sidhani kama ni muhimu sana kwa yeye kusemea hilo.

aendelee na spana za msingi,maana hata asiposhinda atakumbukwa kwa kuikumbusha ccm mambo ya msingi.
CCM hawana huruma na Lissu na yeye lazima akomae nao kisawasawa bila kuwapa nafasi
 
Kila wanachofanya dhidi ya lissu Ni kumpa credit na agenda za kuzumngumza .

Endeleeni tu lissu anawafungua akili watanzania walio wengi

Hata Kama watashinda kwa ulaghai

Demage aliyofanya lissu itakuwa kubwa mno

Taratibu Hadi Taifa zima libadilike
 
Akili zako na huyo Lissu sawa sawa. Unataka aachiwe asimame katikati ya barabara kama raisi wa nchi? Tena ka audience chenyewe cha watu 200-300 kisa tu ku entertain his mental health issues yeye na raisi wa nchi ni watu sawa.

I think his honeymoon period should be brought to the end as days go Lissu is becoming a real pest.
Bunge lilivunjwa baraza la mawaziri lilivunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wapo maofisini kinyume cha Sheria hata Majaliwa anazunguka nchi nzima akijidai ni waziri mkuu, CCM acheni ushetani wenu mna vyombo vyote vya dola lakini bado hamjiamini mnaendelea kuwahujumu chadema
 
Mimi siyo mwanasheria lakini najua mgombea yoyote iwe wa urais, ubunge au udiwani akivuruga ratiba au utaratibu malalamiko yanapelekwa tume ya uchaguzi mara moja.

Hili halihitaji mgombea kuwaelimisha polisi halafu wanamruhusu aendelee na tukio.

Maendeleo hayana vyama!
Tafadhali toa elimu hii kwa wana lumumba wenzako!
Big up!
 
Polisi wamefanya hvo kuzuia ajali na vifo mara ya mwisho Tundu alivokuja kutafuta wadhamini wilayani Tarime kulitokea ajali zaidi ya tatu na vifo pia ni bora kuwatawanya ili wakamsubiri eneo maalum na mnavojua haya majimbo ya huku yalivyo na watu wakorofi
 
Bunge lilivunjwa baraza la mawaziri lilivunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wapo maofisini kinyume cha Sheria hata majaliwa anazunguka nchi nzima akijidai ni waziri mkuu, CCM acheni ushetani wenu mna vyombo vyote vya dola lakini bado hamjiamini mnaendelea kuwahujumu chadema
What a load of nonsense, kuendelea kumchekea Lissu ni ku entertain his fantasy; yaani azuie shughuli za watu wengine barabarani kisa tu kichwani kwake anajiona ni sawa na raisi.

This joke has gone too far.
 
Huu ni WIVU
 
Ni siasa za aina gani mpaka police ipige watu teargas? Uvunjifu gani umefanyika huko kwani jamaniiiii?
 
Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Wewe ni unajua mambo, huyu Tundu Kakulia wapi yeye hajui amani nini na haki nini?

Waache Watanzania wachague RAIS mpenda amani ya kutekana, kupigana risasi mchana kweupe mtangaza chuki kwa majimbo yaliyo chagua upinzani, mwenye kukejeli watu “ kama maisha magumu uolewe” anaambiwa mwanaume Tabora hii
 
CCM mmeishiwa Sera, safari hii mmepata mpinzani wa ukweli na sio pandikizi Kama mlivyo zoea
 
Back
Top Bottom