Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Shida Ni kuchanganya upolisi na ukada.Polisi wanamuogopa vipi mtu ambae arudi tena October kuumiza watz.
 

..then ccm, tume, na vyombo vya ulinzi na usalama, should treat TL kama mgombea asiye na madhara yoyote.
 
Kiukweli sio jambo jema kuna kesho na kesho kutwa kwenye utawala mwingine.
 
Mwenye wivu ni Lissu, he needs to accept the fact Magufuli ni raisi wa nchi hii.
who doesn't accept that Magufuli's mandate was given has expired ??? no wonder the parliament is dissolved. Its time now to elect the new president let the majority to choose a leader to govern this country otherwise expect bloodshed the entire country than Mkapa-Zanzibar.
 
Kuna watanzania hawajui kiswahili mpaka muwatafsirie au ndiyo mwendelezo wa kulipia dola milion 20 za kufanikisha matukio ya uchaguzi?
 
Polisi kashindwa hata kujitetea,aibu tupu!
Hata ungekua wewe hapo ungejitetea nini sasa, kama polisi hata sheria hawaijui ni aibu kwa kweli na kiboko yao ni Lissu, upinzani wa namna hii usiotishika ndio tunautaka
 
UPDATES

Polisi wamesalimu amri na kuondoka baada ya somo la Lissu kuwaingia. Mkutano unaendelea Nyamongo muda huu. Aidha baada ya raia kupigwa mabomu wamegoma kutawanyika.
Mwaka huu raia hawataki ujinga mkuu
 
Pamoja na @tanpol kupiga mabomu na risasi, UMMA wamegoma kutawanyika, mkutano unaendelea muda huu Nyamongo, Tarime Vijijini.

Naomba Mungu amjalie TAL aendelee kutupa ujasiri, maana tulio wengi maskini hatuna cha kupoteza.tunanyanyaswa sana na serikali ya Jiweee..
 

Hii Chadema iko kazini, haya yote yataisha kabisa after this election. CCM shall have more younger leadership , so the ethos shall reverse, its just a matter of time.

From year 2020, CCM shall have 80% of elected leaders whose age is below 40 years.

Magufuli is managing generation transitional politics. It happened elsewhere and it will happen here in Tanzania. Hakuna kipya.
 

Huo ndio ukweli. Hili lijamaa JIWE halitufai kabisa. Hivi hili jeshi linafanya nini. Si wampindue tu. La sivyo, nguvu ya umma haikwepeki.
 
Polisi tumieni hekima na busara, nyie hampo hapo kulinda masirahi ya chama fulani ila usalama wa raia wote,
 
Huo ndio ukweli. Hili lijamaa JIWE halitufai kabisa. Hivi hili jeshi linafanya nini. Si wampindue tu. La sivyo, nguvu ya umma haikwepeki.
Hawawezi bila sapoti ya wananchi, wakifanya hivyo na ikafeli wanaogopa kesi ya uhaini,ukiongea nao udai wananchi ndio tumewachelewesha kwa uoga wetu, walitegemea maandamano ya mange ndipo wamalize mchezo kurudi nyuma kwa wananchi kuliwavunja moyo, wanufaika ni wakubwa zao wachache lkn wote wa chini wanataka mabadiliko na Wana hasira mbaya ya kunyimwa nyongeza ya mishahara 5 yrs hivyo wanasubiria jiwe akanyage fyuzi tu alipukiwe utii walio nao ni wa kwenye uniforms tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…