Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Huwa mkirushiwa fupa kidogo mnaanza kuparuana Kama wapumbavu HIV endeleeni mwisho mtaambulia manyoya
Nyie wapumbavu wa lile zezeta ndio mlikuwa mkiitwa wanyonge mnagalagala kwa furaha...kwa nini hampendi watu kupewa haki zao?
 
SAMIA anavyokwenda na wapinzani ,2025 wapinzani watakosa hoja.
Watakosaje hoja?.Siasa nikuuza sera.uku kwetu kwasababu ya umaskini wetu ndo maana unaona tunajadili sana matatizo kwenye majukwaa ya kampeni.ila nchi zilizoendelea na kuelimika wanachoangalia ni nani ana sera nzuri kuliko mwingine,ndo maana ata America pamoja na maendeleo waliyonayo bado kuna ushindani wa vyama.
 
Sidhani kama ufikiriavyo ndivyo!
 
Umemchana live yaani
 
na ndiyo maana karudi kwao kongwa, alifeli kusoma upepo.
Ndugai alitakiwa kushitakiwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya ofisi ya Spika!! Kuna mambo mengi ambayo ushahidi wake ungetolewa kwamfano matumizi ya fedha kwenda India haukufuata taratibu za fedha za serikali.
 
Magufuri kwa huku bongo tulishafunga jarada lake,ajee na mengine tuu Kama unajuwaa kwa kuendeleza kusema vibaya ndio itafaa kwahapa tz amefeli,sisi letu liko moyoni tukutane 2025.

Hiyo 2025 ndio mtafanya nini? Kwani viongozi kwa sasa wanachaguliwa kwa box la kura?
 
VP wavuvi ndio hatuna maana kabisa ndani yamoyo wake kwani tulidhumiwa pia nautawala ule haswa kata yakalya kijiji kashagulu wilaya uvinza tutizamwe pia mzee alituzuru sana
 
Sasa Lissu si arudi nyumbani. Au anataka analizie kuziponda hizo pesa?
 
Mama samia tumpe sifa zake kwa kweli ana busara na utu. Tofauti na yule alotwaliwa.
 
Madame kalipa halafu hajajitangaza na hajafanya mbele ya kamera.

Aliyelipwa ndiye kaja kusema.

Jamani mi nakua chawa wa Madame jamani
Samia kiongozi halisi. Hawa ndio viongozi
 
Hakika sasa hata kama hatuna imani sana lkn angalu mwanga umeanza kuonekana.

Serikali imemlipa mbunge wa zamani wa cdm mh Lissu stahiki zake ambazo alinyimwa chini ya utawala wa Magufuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…