Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Sawa na wastaafu wengine wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walipwe stahiki zao tusibaguane
 
Mama Samia ataishi. Ataiepuka jehanamu maana amemtendea mema mwana wa Mungu Tundu Lisu tangu mwanzo.

Yule shetani ndiyo maana aliondolewa mapema na muumba.
Jehanamu unafikiri ni kwa bwanako
 
Hebu angalia awamu ya nne hali ilifikia hadi rais akaonekana ni dhaifu, nchi ilikuwa kama imeuzwa ikafikia hatua baadhi ya watu kutamani aje rais dikteta.

Sasa hivi tena Samia tunasema anarekebisha makosa ya awamu ya tano.
 
KWA HIYO!?
 
Nawe unastahili tu kufa, tena hata sasa hivi sababu umejaa chuki endelevu zisizotibika na udini tele ukiwa umejificha kwenye kivuli cha uungu kumbe ni shetani aliyekubuhu kwa ushenzi kuliko hata shetani mwenyewe.
 
Narudia tena ugomvi wa magufuli na chadema ulikuwa ni MASLAHI.
Sasa wamepata MASLAHI yao.
Huwezi tena kuwasikia .
Unataka kusema UONGOZI wa Samia ni mzuri na hauna MAPUNGUFU?
wameshazibwa mdomo na hawawezi kuongea
KWENYE HUDHIA....
Ulitaka aseme hajalipwa?
 
Hapana Sina chuki.
Utawala wa Samia upo sahihi [emoji817].
Ndo maana mmekaa kimya.
Hamna Cha kukosoa tena maana MASLAHI.
PENYE HUDHIA....
Naona unaongea huku kooni umekabwa na rundo la chuki kuu.

Pole sana ndugu hayo ndiyo maisha maana hata barabara haiwezi kunyooka unavyotaka wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…