Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Ngoja waanze kumdekea, hawana dogo hao...
 
2025 wapinzani wote wa mama watakuwa wanamuunga mkono..2025 anapita bila kupingwa
Ni Mtanzania.Kwa nini asiungwe mkono kama anakataa uonevu na ujinga?Huwa kuna mambo tunakosea kuwaza.Kwani upinzani umetokea wapi?Ni kwa sababu ya kutoridhishwa na mienendo ya kisiasa tu.Kama mambo yanaenda uzuri,nani atakuwa mkinzani?Tafakari.
 
Kwa kweli tunaye rais Mwema mwenye huruma.

Yule mbinafisi alitaka ale peke yake huku akijificha kwenye vichaka vya uzalendo na kujenga mavitu hata ajira halitoi.

Rais wa Ujenzi na majengo mabovu
 

Asante kwa kuelewa kuwa sio Uislam dhidi ya dini nyingine. Umesoma vyema mpaka mwisho, Great Thinker.
 
Naona naye analamba asali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku Hakuna ishu akae kule kule
 
Devoted Muslims have a clear sense and meaning of ''justice'' than the other devoted and pious imitators
hapana mkuu. Kila nafsi ihukumiwe kwa matendo yake. Kwa hili bandiko lako, ina maana waislam wote ni magaidi kama Bin Laden au ISIS wanaokata watu vichwa? Neno devoted unalipimaje?
tafakari kabla ya kuandika.
 
Reactions: Qwy
Kwamba Samia ndio Kamlipa ? Hii nchi itakuwa ya Kifalme kama vile ambavyo tungekasirika uweze wa JPM kuzuia ndio tukasirike uwezo wa Rais kulipa..., Ifike wakati tuwe na Taasisi zinazofuata sheria inasema / inataka nini sio mtawala anaamua nini
Kwa katiba yetu ni Samia ndo kamlipa na jiwe ndo alizuia malipo,
Strong institution is the way to go , not strong leaders.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…