Kuhusu kurudi anamuwekea Rais Samia masharti yasiyo na maana.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.
2025 wapinzani wote wa mama watakuwa wanamuunga mkono..2025 anapita bila kupingwa
Tatizo la watanzania wengi tuna low thinking capacity. Nadhani ni sababu ya lishe, makuzi, utamaduni na elimu. Mtanzania mwonyeshe tarakimu moja tu yeye tayari ameshatoa conclusion kama amefanya research ya miaka 50! Mtu kama wewe unaangukia kwenye hili kundi. Samia hajafanya lolote jipya bali amesema haki itendeke. Kwanza kitendo cha mambo madogo kama haya kutegemea utashi wa rais ni hatari kubwa. Na bado haoni ulazima wa kubadilisha mfumo na raia kama wewe pia hamuoni ulazima wa kubadili mfumo! Mnabaki kusifu kitu ambacho bado kinaweza kujirudia wakati wowote!Umesema kweli, mimi ni mkiristo ila nakiri kuwa ndugu zetu waislamu wana utu sana.
Mgonjwa aghali zaidi duniani, aliishahakikishiwa na Shetani wa Burigi kuwa watatawala 'wanavyotaka' na kudumu mileleJob Ndugai hapo anataka kujinyonga!
Sipati picha yule jamaa wa kongwa Mpwapwa anajionaje sasaVibwengo wa Magufuli roho zinawauma sana
Na Kinana alisisitiza hiloSiasa ni sayansi.
Naunga mkono kwa namna mama anavyoenda na wapinzani.
Huko kwenye ubunge ndiyo kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Majimboni CCM wajipange sana, hakutakuwa na kubebana.
Acha udini we Kafiri, mbona JPM alimtoa Babu Seya jela ambaye aling'ang'aniwa miaka na miaka na yule Muislamu lakini hukusema kuwa Wakristo wa Bongo wana roho nzuri sana kuliko Waislamu [emoji848][emoji19]Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Magufuli alikuwa katili sanaAcha udini we Kafiri, mbona JPM alimtoa Babu Seya jela ambaye aling'ang'aniwa miaka na miaka na yule Muislamu lakini hukusema kuwa Wakristo wa Bongo wana roho nzuri sana kuliko Waislamu [emoji848][emoji19]
Ficha upumbavu wako [emoji34]
Yaani hapo walipo wanajiharishia hovyo tu. Hawaamini kinachotokea. Siasa siyo chuki hata kidogo. Pongezi nyingi to our Her Excellency SS Hassan.Wale wafuasi wa lile zimwi la Chato wanasaga meno kwa hasira,hii mijitu ina roho za kishetani sana
😂 😂Aluta discontinuedSo all is well ?
Aluta Discontinued ?
Ni Vema na Haki ila naona nguvu nyingi zinatumika kwa sasa kwa Samia this JPM that na tunasahau / wanasahau kutumia muda wa kuimonitor CCM
Yuko jikoni anaota Moto na kusogeza kuni jikoni. Yahudi yule. Imeandikwa ole wake amtegemeaye Mwanadamu Chattel.Ni jambo jema. Sijui Ndugai anajisikiaje na ule ujeuri wake
Endelea kujijengea kansa, vidonda vya tumbo, BP, stroke na hadi uparalaizi kabisa ufe kwa roho isiyosamehe, la sivyo kunywa sumu ufe kiurahisi kabisa [emoji28]Magufuli alikuwa katili sana
Kabisa Mkuu. Tunachotaka ni kiongozi Bora. MTU atampinga nini wakati hakuna cha kupinga. Mungu ampe uhai na afya mpaka 2030 ulingo mpya uanze. Tunakuombea Rais wetu.Ni Mtanzania.Kwa nini asiungwe mkono kama anakataa uonevu na ujinga?Huwa kuna mambo tunakosea kuwaza.Kwani upinzani umetokea wapi?Ni kwa sababu ya kutoridhishwa na mienendo ya kisiasa tu.Kama mambo yanaenda uzuri,nani atakuwa mkinzani?Tafakari.