[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa kongwa aliona mbali, mzee wa tupisheeHizo lawama zinazobaki tusisahau kuwagawia genge lililopo kule Bungeni..., Bora yule aliyeondoka mapema kwenye kiti na kutwambia tutaamka tukute tumeuzwa...
Ni kweli hayuko peke yake. Kuna nguvu inamwambia vuta vuta muda hawa wajinga watasahau tuSamahani mkuu, lakini siyaamini maneno yako haya kumhusu mhusika.
"Usikivu" (feki) ulikuwa na maana yake, sasa umekwisha tambulika kuwa ilikuwa ni hadaa tu ya kutafutia sifa.
Usifikiri ni kazi rahisi kujiondoa katika mtego huu aliomo sasa hivi. Hayuko peke yake ujue, hii ni kazi ya timu maalum (genge).
Na hata akisema ajiondoe, sura yake halisi imekwisha jionyesha, hana njia ya kuiripea na kurudisha imani kwa waTanzania.
Mama hicho kibarua cha kulipwa ulichopewa kimebuma😅😅Tatizo liko wapi? Mie naona lipo kichwani mwako tu.
Mli msifia sana hadi sifa zikamzidia woiiiiKwa kweli ametukosea sana, hasa tuliokuwa mstari wa mbele kusema anaupiga mwingi. Maneno hayo yametutokea puani. Katutia sana aibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ndo kabisaaa boya, kaandaa na mbeleko,sabuni mafuta ya nazi kuogesha na kuwabeba waarabu mgongoni.wampe dirham
Kasema mwenyewe
Huyu angekua awamu ya 5 angekula chumaa
Huko ni kukodisha?Mpaka watakapochoka wenyewe waarabu.
Kwami Loliondo ilikuwaje?
Yaani pale ikulu sijui pana shida gani watu wazuri wakifika pale huwa wanabadilika.Kwa kweli ametukosea sana, hasa tuliokuwa mstari wa mbele kusema anaupiga mwingi. Maneno hayo yametutokea puani. Katutia sana aibu.
The simpler the best.There you go with the whataboutism.
Too predictable. Too formulaic.
same ol same ol.
Vidume vya DP World washafunguwa Loliondo zao Dubai, wewe bado upo Loliondo? Jionee:Mpaka watakapochoka wenyewe waarabu.
Kwami Loliondo ilikuwaje?
Tukubaliane pale nyumba kuu hakuna kitu ni hewa tu.Sidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.
Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.
Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.
She is an empty suit.
Ndio vidume vyenuVidume vya DP World washafunguwa Loliondo zao Dubai, wewe bado upo Loliondo? Jionee:
Vidume vya DP World hivyo.
Ccm haiwezi kutoa kiongozi msafi wala kiongozi bora chama gani kila kinapofanya mikutano ya kisiasa lazima wahonge wanainchi pesa na kanga ndio waje kwenye mikutanoYaani pale ikulu sijui pana shida gani watu wazuri wakifika pale huwa wanabadilika.
Jpm alikuwa mtu mzuri sana lakini alivyokuja kuchange tukashangaa
Acha dharau nakudhai wewe ndio una akili tu.Sidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.
Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.
Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.
She is an empty suit.
Imekodishwa kwa miaka mingapi?bandari inauzwa au inakodishwa?
Kweli kabsaa, anawaongezea asila wananchi.Hii serikali imekuwa kama Mafia Cartel, kuna kitu kita Yield somewhere, ni suala la muda tu. Huwezi kuliliwa na watu milioni 60 wanaokuomba usiwauze utumwani halafu wewe useme umeziba Masikio
Kujua kwamba hilo genge lilidhamilia hasa unaona anatoka mmoja mmoja kujibu hoja na hoja anazojibu wala haziekeweki hivi kweli kwenye jambo nyeti kama hili Rais wa nchi ni wa kukaa kimya muda wote huo? Tukubali tukatae mambo hayako sawa.Samahani mkuu, lakini siyaamini maneno yako haya kumhusu mhusika.
"Usikivu" (feki) ulikuwa na maana yake, sasa umekwisha tambulika kuwa ilikuwa ni hadaa tu ya kutafutia sifa.
Usifikiri ni kazi rahisi kujiondoa katika mtego huu aliomo sasa hivi. Hayuko peke yake ujue, hii ni kazi ya timu maalum (genge).
Na hata akisema ajiondoe, sura yake halisi imekwisha jionyesha, hana njia ya kuiripea na kurudisha imani kwa waTanzania.
Umenikumbusha nyimbo ya shule ya Vidudu ya zamani Sana @mh Raisi naimani aliuimbaSidhani kama Samia ana uwezo wa kusoma hiyo mikataba na kuelewa alichokisoma.
Yeye ni wa kusubiri kuambiwa tu na wengine.
Vyovyote atavyoambiwa na hao anaowategemea, ndivyo naye atavyokwenda.
She is an empty suit.
Mchezaji Wa Uto JoyceUmenikumbusha nyimbo ya shule ya Vidudu ya zamani Sana @mh Raisi naimani aliuimba
Seti tupu haina Memba x 2
Kiitikio
Haina Memba
Haina Memba
Haina Memba!!!!!!!!!!!
Dada yangu Mtukufu kubali yaishe
Ngozi nyeusi siyo Watu!!!
Yasikukute ya mdogowako Yule mchezaji wa Utopolo mwenye kina la kiumbe
Any way Yatapita kwakuwa wewe upon upande wa Mungu Zaidi
Malaika wa Bwana wakulinde Kwa kukufunika na mbawa zao
I love you So Much wewe ni mtu wa Mungu
Naimani Mungu anakutumia Wananchi tuelewe ujinga wetu