Nimesikiiza hotuba yako ukiwaasa watanzania kuwa: Tanzania ni moja, kamwe tusikubali kugawanyika
Kwa kuziuza bandari za Tanganyika na kuziacha za Zanzibar, kwa mtu mwenye akili, anayejitambua, mwenye kufikiri, logical conclusion kutokana na kitendo hicho (cha kuacha bandari za zanzibar na kugawa za tanganyika, ) ni kuwa wewe Umeshaigawa Tanzania...kupata Tanganyika na Zanzibar
Brevity ni kuachana na biashara hiyo na DP World.