Nimesikiiza hotuba yako ukiwaasa watanzania kuwa: Tanzania ni moja, kamwe tusikubali kugawanyika

Kwa kuziuza bandari za Tanganyika na kuziacha za Zanzibar, kwa mtu mwenye akili, anayejitambua, mwenye kufikiri, logical conclusion kutokana na kitendo hicho (cha kuacha bandari za zanzibar na kugawa za tanganyika, ) ni kuwa wewe Umeshaigawa Tanzania...kupata Tanganyika na Zanzibar

Brevity ni kuachana na biashara hiyo na DP World.
 
Nimeeleza, lkn kwa vile huwezi kufikiri hujaona
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar alishasema Swala la Bandari kila upande Unajitegemea hayaingiliani sasa wewe ugumu wa ubongo wako kuelewa unasabanishwa na nini? Mbege?!!😃😃😃
 
Alimzuia ndugai kuzungumzia nchi kupigwa mnada, sasa hataweza kuwazuia Watanganyika wote, mikataba yote mibovu aliyoridhia ipitiwe upya
 
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar alishasema Swala la Bandari kila upande Unajitegemea hayaingiliani sasa wewe ugumu wa ubongo wako kuelewa unasabanishwa na nini? Mbege?!!😃😃😃
Mbowe alisema kitu kwanini wote wawe wazanzibar waliohusika kwenye swala la mali za WaTanganyika linafikirisha japo huyu ni mteule ila linafikirisha sana.

Na kingine Samia ni Rais wa wapi si Wa Kote so kwanini asishauriane na Serikali ya Zanzibar kuwapelekea na wao hii DIPIWEDI?

Yani Leo Samia atupende sana Bara Kuliko Kwao?
Inafikirisha sana Mkuu.
 
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar alishasema Swala la Bandari kila upande Unajitegemea hayaingiliani sasa wewe ugumu wa ubongo wako kuelewa unasabanishwa na nini? Mbege?!!😃😃😃
Tunamsikiza mtu au sheria na katiba...kichwa chako kama cha kuku katika kudadavua mambo
Angalian namba 11 kwenye attachment hii
 

Attachments

Mwimbo wa zamani huu,watu washauchoka.Sasa hivi ni MoA ya serekali na kanisa.
 
Huu ndio ukweli.
 
Zanzibar tayari ina Wawekezaji wawili Kutoka Oman na Afrika Kusini

Mzanzibari akishaingia Kwenye Serikali ya JMT anakuwa Mtanzania
 
Aanze kuzungumzia jinsi Lowassa alivyoyauza na kuyagawa mapato na kodi za watanganyika kwa makanisa mwaka 1992 kupitia memorandum of understanding haramu.
 
Jiwe popote alipo Anamkumbuka
Jamaa ni mwerevu sana. Unampiga risasi zaidi ya 30, hafi! Unambambikia kesi za uchochezi, haogopi! na mwisho wa siku unaamua mwenyewe kumfutia mashtaka yote!

Unapanga mipango ya kumkamata, unaambiwa tayari ameomba hifadhi Ubalozi wa Ujrumani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…