Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Komredi Tundu Lissu pamoja na ubobevu wake kwenye masuala ya mikataba anashindwa kujua kuwa leo bunge halikupitisha MKATABA wowote......Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
NAM HOTEL hapo Dodoma.....[emoji1787]Amedai akiwa wapi?
madalali ya muuza watumwa ni wapumbavu.Bavicha mnawaza kulogana tu na Mganga wenu Mshana!
Mh lisu hajawai niangusha , that's Mungu ananiambia huyu ndieAmedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
ccm na wafuas wao yamegeuka madalali ya muuza watumwa wa dubai.Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
Sasa ungewaona WALE CCM walivyotoa macho na kuupigia makofi, vigelegele, mayowe kama vile wameahidiwa 10%, magari au nyumba!kwa lugha rahisi huo ni Mkataba wa Milele
Chanzo cha habari mkuuAmedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa nakupinga kwenye mambo mengi ila kwenye hili la bandari tuko upande mmoja. Na limeunganisha Chadema na CCM na wasio na vyama kwa wingi. Tanzania kwanza mengine yatafuata.
wajinga wa ccm huu ndio mwisho wenu kama hamjui.Komredi Tundu Lissu pamoja na ubobevu wake kwenye masuala ya mikataba anashindwa kujua kuwa leo bunge halikupitisha MKATABA wowote......
Kweli Mama anaupiga mwingi [emoji7]
NDAGHA FIJO
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kazi zinafanyika hata majumbanii mkuu ni maswala ya teklonojia nafikiri alisahau kuwajuza na hili pia mambo yamebadilika sana si lazima mrundikane sehemu moja nduguNa itazalisha ajira kibao japo darasa la saba Dr Msukuma alipokwenda huko Dubai aliona kabinti kamoja tu 😁😁😁
View attachment 2653137
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sawa mkuukazi zinafanyika hata majumbanii mkuu ni maswala ya teklonojia nafikiri alisahau kuwajuza na hili pia mambo yamebadilika sana si lazima mrundikane sehemu moja ndugu
Ngoja tuone kama ataanzisha utekaji au mauaji , tunamtakia kila la heri kwenye nia yake hiyoAmesema mbegu hata iwe ndogo ikiachwa inaleta madhara makubwaa
Wadanganye wajingaKomredi Tundu Lissu pamoja na ubobevu wake kwenye masuala ya mikataba anashindwa kujua kuwa leo bunge halikupitisha MKATABA wowote......
Kweli Mama anaupiga mwingi [emoji7]
NDAGHA FIJO
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
jf hailei uongo , jichunguze kama ulikuwa kwenye parade la Yanga au laChanzo cha habari mkuu
Dada yangu kwa kupenda upotoshaji looh niambie wewe....leo kuna mkataba uliosainiwa pale bungeni ?!!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]Wadanganye wajinga
Utekaji na uuaji tena katika taifa la baraka liongozwalo na mama mwanamwema kipenzi chetu mh.Rais SSH?!!! [emoji15][emoji15]Ngoja tuone kama ataanzisha utekaji au mauaji , tunamtakia kila la heri kwenye nia yake hiyo
Wale ni wagonga meza tu , hiki hapa ni nini ?Dada yangu kwa kupenda upotoshaji looh niambie wewe....leo kuna mkataba uliosainiwa pale bungeni ?!!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app