Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mchaga akuachie hela? Yaani CDM watachukua muda ku recover. Lakini sasa hivi chama kitajengwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alisena yeye kama makamu mwenyekiti kuwa Chadema pesa ziko nyingi zinaishia kuliwa makao makuu hazifiki matawinisi alisema pesa zinatumika vibaya, nae ataweka vizuri matumizi ya pesa za chama?
ziko wap hizo pesa sasa gentleman?🐒
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tunaupungufu wakutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa nzuri sana"
Maji ya shingo....Na alisena yeye kama makamu mwenyekiti kuwa Chadema pesa ziko nyingi zinaishia kuliwa makao makuu hazifiki matawini
Akasema akishika atahakikisha hizo pesa zinafika matawini.Azifikishe sasa
Ulaghai una mwisho kampaka matope Mbowe weeee
Atakayechanga atakuwa akili hana aambiwe alizosema zipo ashushe matawi
Hapo ndio hoja yako ilipoishia sasa kama alisema atapanga matumizi bila ya kuwepo na pesa utayapangaje matumizi?unatuhumuje watu kua na matumizi ya pesa za chama hali ya kua hakuna hizo pesa?
watu walikua wanajitolea pesa zao mfukoni wewe unadai wanatumia pesa vibaya.
haya,
chama hicho hapo, wewe ndiyo kiongozi, panga basi matumizi mazuri ya chama.
Yaani kufanya retreat mbili tu dar na bagamoyo account ya chama inasoma zero?🤣
Chama kimeshamshinda mpaka muda huu.yaani kafanya retreat mbili za kichama kwenye mahoteli ya maana huko bagamoyo,
account ya Chadema inasoma zero dah 🤣
Sikiliza video boss, kasema wazi chama hakijawahi kufadhiliwa na mtu mmoja, chama ni cha wanachama.Yeye afanye kazi aache siasa za kulalamika,kama hakuna hela aseme chama hakina hela wanachama watachanga na siyo kulalamika kwamba hakukuta kitu wakati anajuwa fika Mwenyekiti mstaafu ndiyo alikuwa mfadhili wa Chama.
Tutaona kwenye Kampeni za mwaka huu akirusha chopa..Sikiliza video boss, kasema wazi chama hakijawahi kufadhiliwa na mtu mmoja, chama ni cha wanachama.
Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
Awaambie wanachama wachangie /Waanzishe miradi ili kuondokana na hiyo michango ya kila mara.Sikiliza video boss, kasema wazi chama hakijawahi kufadhiliwa na mtu mmoja, chama ni cha wanachama.
Bado hamjasema. Maana moto mnakwenda kuupata.Usirukie mambo yasiyokuhusu. Kwani alikuwa anakuambia wewe?
Lisu alikuwa anaongea na wanachama na wapenzi wa CHADEMA, cha ajabu wanaochanganyikiwa na kukurupuka ni chawa wa CCM! Hivi hao machawa watakuwa na angalao hata ile akili ndogo kabisa ya mwanadamu?
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa hovyo mno.... analeta UANAHARAKATI siasani.......Kusema tu kuwa jibu halitakuwa zuri tayari ametoa jibu.
Vibaya sanaChama kimeshamshinda mpaka muda huu.
...chama kinakwenda KUMFIA....Daima tutamkumbuka Mhe. MBOWE. alijitoa kwa hali na mali kuendesha shughuli za chama.
Sasa mtoto akililia wembe mpe....
Na alisena yeye kama makamu mwenyekiti kuwa Chadema pesa ziko nyingi zinaishia kuliwa makao makuu hazifiki matawini
Akasema akishika atahakikisha hizo pesa zinafika matawini.Azifikishe sasa
Ulaghai una mwisho kampaka matope Mbowe weeee
Atakayechanga atakuwa akili hana aambiwe alizosema zipo ashushe matawi
Tundu Lissu ni MASKINI JEURI.... aendelee kula ujeuri wake....Bado hamjasema. Maana moto mnakwenda kuupata.