Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na alisena yeye kama makamu mwenyekiti kuwa Chadema pesa ziko nyingi zinaishia kuliwa makao makuu hazifiki matawini

Akasema akishika atahakikisha hizo pesa zinafika matawini.Azifikishe sasa

Ulaghai una mwisho kampaka matope Mbowe weeee

Atakayechanga atakuwa akili hana aambiwe alizosema zipo ashushe matawi
Lakni mbona mnashindwa kuelewa kitu kidogo tu. Ama kweli huko lumumba mnavuliwa akili ndio maana mnashindwa na hoja zenu zinakinzana.
 
Wewe inaonekana kichwani ni kutupu kabisa!

Hata kama alisema hivyo, kama kwa sasa hakuna pesa, unataka afikishe nini huko chini?

Ungekuwa na akili japo kidogo, ungesubiri kwanza ipite angalao hata miezi 6, wanachama na wapenzi wa chama wachangie, na hiyo ruzuku ndogo iingie, halafu uone matumizi yake yanakuwaje, ndipo uwe na haki ya kusema na kuhukumu.
Mkuu hii timeline ya Miez sita ni yakwako .

Kiongozi anapimwa kwa

The first One month in the office
The first 100 days..

Ila mpaka sasa ukiacha hotuba za kufurahisha hakuna kitu kimefanyika..

Michango ya NIMO ni failure bab kubwa...

Anarudia yale yale ya Mwamba kwenye fund raising lakini walimtukana nayo vya kutosha...

Muda ni rafiki wa haki.
 
Wengi walifikiri kuendesha Chama ni sawa na genge la nyanya.Wafadhili wakubwa wa Chadema kutoka Kariakoo wamesusa.Sasa ndio muda wake wa kuonyesha kwamba yeye ni kiongozi na sio kelele za kwenye mitandao na Press Conference.
 
Hapo ndio hoja yako ilipoishia sasa kama alisema atapanga matumizi bila ya kuwepo na pesa utayapangaje matumizi?

Yeye ameingia juzi na ameona hali ni tofauti sasa kinachofanyikaan ni kufanya utaratibu ili pesa ipatikane halafu apange matumizi hata hili linakushinda kuelewa ndugu mtafiti?

Kazi ipo sana kwa watafiti wetu
Je,
hakujua kwamba baada ya retreat ya kifahari bagamoyo kwa zaidi ya siku5, pesa zingine zingehitajika kwa matumizi mengine?

unafanyaje retreat ya milioni 65 hali ya kua huna mpango mkakati unaoeleweka kiuchumi kuendesha chama?

kwani wangefanya hapo HQ kulikua na ubaya gani mathalan?🐒
 
Naona machawa punguani mnaunganisha nguvu ili kuwa punguani zaidi.
relax kwa utulivu gentleman,
Chadema inapitia ukata wa kiwango kibaya sana baada ya retreat ya kifahari sana kwa viongoz wapya, ya gharama zaidi ya milioni 65 bagamoyo,

Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
 
Je,
hakujua kwamba baada ya retreat ya kifahari bagamoyo kwa zaidi ya siku5, pesa zingine zingehitajika kwa matumizi mengine?

unafanyaje retreat ya milioni 65 hali ya kua huna mpango mkakati unaoeleweka kiuchumi kuendesha chama?

kwani wangefanya hapo HQ kulikua na ubaya gani mathalan?🐒
Walienda expensive retreat ?

Nooooway😂.
 
Lengo la "NO REFORM ,NO. ELECTIONS" limeanza KUFUNUKA....

TL ameikuta "account" ya chama iko kame ,amemaizi kuwa ndani ya muda mfupi hawezi kukijenga CHAMA na kushinda wabunge na madiwani wengi....


TL ana mwaka mzima wa kuichechemesha CDM angalau ianze kupumua.....na muda huo UCHAGUZI UTAKUWA UMESHAPITA.....

TL mjanja sana ,ila ujanja wake wa kitoto ,apambane uchumi wa chama na si kauli koko za "no reforms no elections".
 
LISSU AACHE KUTAFUTA MCHAWI, ATUMIE AKILI KUPATA FEDHA KAMA MWENYEKITI ALIYEPITA JINSI ALIVYOKUWA AKIJITOLEA, AACHE KULALAMA, SASA AMEKUWA MWENYEKITI AONGOZE CHAMA KWA WELEDI ILI AWE MWENYEKITI WA MFANO.
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"


Tafuta pesa acha visingizio.CHADEMA imeingiliwa na vibaka na matapeli wa kisiasa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Lisu ana shida kama ya JPM. Hajui nini cha kuongea hadharani na kipi cha kuongea kwenye vikao vyao vya ndani. Atapoteza watu kwa hii style yake ya kuongea bila break. Asifikiri watu wanaipenda sana chadema. Ni vile hakuna chama mbadala kwa sasa wa kupambana na ccm.

Laiti wagombea binafsi wangekuwa wanaruhusiwa, ccm na chadema vingebaki na ofisi bila watu.
Kuwa muumin wa ukweli.
Itakusaidia maishan.
Inaonekana umejaa unafiki na woga.
 
Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale [emoji117]nimekaa naangalia mwisho wake
Mwamba alikuwa amejitolea au alikuwa anakomba kibubu? Unamsifia mwizi!?
 
LISSU AACHE KUTAFUTA MCHAWI, ATUMIE AKILI KUPATA FEDHA KAMA MWENYEKITI ALIYEPITA JINSI ALIVYOKUWA AKIJITOLEA, AACHE KULALAMA, SASA AMEKUWA MWENYEKITI AONGOZE CHAMA KWA WELEDI ILI AWE MWENYEKITI WA MFANO.

Hawezi lalama kwako maana Huna hela wewe!
 
Back
Top Bottom