Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
65m, ndio ufanye retreat ya kifahari? Unajua unaongea nini kweli?
viongozi chini ya 20 na viburudusho vyao na wakati ruzuku ni 100m pekee. ni ufujaji wa pesa huo wa wazi kabisa 🐒
 
Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"😭😭😭
 
Enzi za Nyumba na Jembe watu walikuwa hawatumii pesa kufanya kampeni na uchaguzi.Sasa hivi kama huna pesa ni ngumu sana kuchaguliwa.Sio Tanzania tu ni duniani kote. Dunia imebadilika Bwa shee.
 
We mchawi tu! Pesa za mother ndizo zilikuwa zinaendesha chama! Hilo tuliliona kitambo
 
Weka udhibitisho wa hiyo hela kutumika.
nadhan huyo kibaka tapeli wa kisiasa ndio inafaa aathibitishe pesa alizokua anadai viongozi wa zamani walzitumia vibaya ziko wapi?

na hayo matumizi ya zaidi ya milion65kwa siku4 ndio matumizi mazuri?🐒
 
Mbowe mwenyewe alikuwa anasema chama hakina fedha, na zaidi, hata uchaguzi alitumia fedha zake mil.400 kwa ajili ila watu wakasema ruzuku zinatosha kuendesha chama. Sasa ndio muda mwafaka wa kuzitumia.
 
Mchaga akuachie hela? Yaani CDM watachukua muda ku recover. Lakini sasa hivi chama kitajengwa kweli.
Wewe kuwa na adabu, Mbowe alikuwa na fedha siku nyingi tu. Mnyika ndio Katibu Mkuu hakuwahi kusema kuna wizi, kila mwaka chama kina hati safi ya ukaguzi, ni fedha zipi mnazitaka?
 
Reactions: Tui
Katibu mkuu ni yukeyule atoe taarifa rasmi?!
 
....wale mangi wa kariakoo wamesema hamtokuwa nao katika huko kushajiishana michango kwa mwenyekiti "wasiyemuamini kuwa mtekelezaji wa malengo makubwa ya kuanzishwa kwa CHADEMA na mzee Mtei...."
Achana na hao MATAPELI mkuu, chama sasa hakitakuwa cha mtu mmoja tu kama ilivyokuwa kwa Sultan Mbowe.
 
Weka udhibitisho wa hiyo hela kutumika.
Lisu naye atoe uthibitisho kama hazikutumika milioni 65 na athibitishe kuwa hakukuta kitu alipoingia uenyekiti

Hizo pesa za retreat alitoa wapi ? Aeleze chanzo cha hizo pesa
 
Tehetehe.... alikuwa anamtukana Mbowe alipokuwa anatoa mpaka hela za mfukoni, na ye ye akauze alizeti huko Singida aje asaidie chama, Heche akauze canna sativa.

Alikuwa anaona vinaelea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…