Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
We mwenyewe wa kusaidiwa unaweza kusaidia mkuu? Au unajipa tu umuhimu kupitia keyboard na mwenyekiti?Kwahiyo tumsaidie nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwenyewe wa kusaidiwa unaweza kusaidia mkuu? Au unajipa tu umuhimu kupitia keyboard na mwenyekiti?Kwahiyo tumsaidie nini?
viongozi chini ya 20 na viburudusho vyao na wakati ruzuku ni 100m pekee. ni ufujaji wa pesa huo wa wazi kabisa 🐒65m, ndio ufanye retreat ya kifahari? Unajua unaongea nini kweli?
Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"😭😭😭Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Unakumbuka? Una miaka mingapi kwani? ShkamoNakumbuka Wakati TANU inazaliwa pale Mwananyamala A kwa mzee Mwinjuma ilikuwa haina hata cent Moja
Chadema imezaliwa Upya Fedha siyo kikwazo Cha wao kuwa Imara zaidi 😄
Weka udhibitisho wa hiyo hela kutumika.viongozi chini ya 20 na viburudusho vyao na wakati ruzuku ni 100m pekee. ni ufujaji wa pesa huo wa wazi kabisa 🐒
Mzee Mwinjuma alikuwa Mzee wetu pale Mwananyamala A 😀Unakumbuka? Una miaka mingapi kwani? Shkamo
We mchawi tu! Pesa za mother ndizo zilikuwa zinaendesha chama! Hilo tuliliona kitamboAache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
nadhan huyo kibaka tapeli wa kisiasa ndio inafaa aathibitishe pesa alizokua anadai viongozi wa zamani walzitumia vibaya ziko wapi?Weka udhibitisho wa hiyo hela kutumika.
ameondoka na pingili ya mnyororo.Mwenyekiti wa zamani alikomba zote wakati akiondoka 😎
Mbowe mwenyewe alikuwa anasema chama hakina fedha, na zaidi, hata uchaguzi alitumia fedha zake mil.400 kwa ajili ila watu wakasema ruzuku zinatosha kuendesha chama. Sasa ndio muda mwafaka wa kuzitumia.Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wewe kuwa na adabu, Mbowe alikuwa na fedha siku nyingi tu. Mnyika ndio Katibu Mkuu hakuwahi kusema kuna wizi, kila mwaka chama kina hati safi ya ukaguzi, ni fedha zipi mnazitaka?Mchaga akuachie hela? Yaani CDM watachukua muda ku recover. Lakini sasa hivi chama kitajengwa kweli.
Katibu mkuu ni yukeyule atoe taarifa rasmi?!Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Mbowe na magenge yake wamekomba kila kitu, alitaka awe Mwenyekiti wa MILELE.Kwahiyo tumsaidie nini?
Achana na hao MATAPELI mkuu, chama sasa hakitakuwa cha mtu mmoja tu kama ilivyokuwa kwa Sultan Mbowe.....wale mangi wa kariakoo wamesema hamtokuwa nao katika huko kushajiishana michango kwa mwenyekiti "wasiyemuamini kuwa mtekelezaji wa malengo makubwa ya kuanzishwa kwa CHADEMA na mzee Mtei...."
Lisu naye atoe uthibitisho kama hazikutumika milioni 65 na athibitishe kuwa hakukuta kitu alipoingia uenyekitiWeka udhibitisho wa hiyo hela kutumika.