Chadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.
Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.
Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒
Mungu ibariki Tanzania