Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ana Chuki binafsi na TAL 🐼
Chuki binafsi Haifai gentleman,
Ukweli ni jambo la maana sana kumuhusu kibaka na tapeli huyo wa kisiasa ndani ya chadema,

hakuna haja ya kupotoshana hali ya kua ninyi ni watu wazima kabisa 🐒
 
ndio,
aseme kwamba alienda bagamoyo kula maisha na watu wake wa karibu na walitumia milioni 65,

na sasa chama hakina pesa naomba msaada wenu kwa hali na mali ili chama kipate tena pesa za kutusua viongozi.

Ukweli ni kitu cha maana sana kuliko kuficha mambo 🐒
Million 55 ni bajeti ya sherehe ya Ubatizo wa mtoto mchanga

Hela ndogo sana hiyo 😂😂

Wewe ni Mgogo? 🐼😄
 
Kaweza sana tu

Mbowe alikuwa anapitisha Kikapo cha Sadaka kama Kanisani
hivi Huyu kibaka na tapeli wa siasa kuna siku anaweza kujitegemea kweli kiuchumi gentleman, yaani akaishi bila kuombaomba kuchangiwa pesa,

kumbuka alishaenda mpaka kuoamba pesa kwa diasporas, ila kule harudii sana 🐒
 
Chuki binafsi Haifai gentleman,
Ukweli ni jambo la maana sana kumuhusu kibaka na tapeli huyo wa kisiasa ndani ya chadema,

hakuna haja ya kupotoshana hali ya kua ninyi ni watu wazima kabisa 🐒
Maneno unayotumia dhidi ya TAL siyo ya kisiasa yanaonyesha una maumivu makali katika Mfumo wako wa damu dhidi yake

Ni kama uliambiwa huyu Mtu alikubakaga mara kadhaa ulipokuwa mtoto 🐼

Ni mfano tu
 
Million 55 ni bajeti ya sherehe ya Ubatizo wa mtoto mchanga

Hela ndogo sana hiyo 😂😂

Wewe ni Mgogo? 🐼😄
kwahiyo bagamoyo walienda kufanya sherehe ya ubatizo wa viongozi wapya wa chama na viburidisho vyao kwa gharama ya milioni 65 right?

na sasa mbona weo nyingi mno kwamba kuna ukata wa kutisha ndani ya chama?🐒
 
Chadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.

Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.

Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒

Mungu ibariki Tanzania
Mwambie makala aache kupanua sana mdomo. Atajua hajuhi.
 
ni utapeli wa kudhulumu haki na uhuru wa wana Chadema,

na kufuata utapeli huo ni sawa na kuamini ushirikina tu 🐒
Polepole aliwaumbua nyie ccm na uchawi wenu!! Kumbuka Huyu alikuwa mwenezi wa chama chenu hivyo huo ushirikina wenu aliufahamu sana!
 
Maneno unayotumia dhidi ya TAL siyo ya kisiasa yanaonyesha una maumivu makali katika Mfumo wako wa damu dhidi yake

Ni kama uliambiwa huyu Mtu alikubakaga mara kadhaa ulipokuwa mtoto 🐼

Ni mfano tu
kwamba muungwana sio kibaka wala tapeli wa siasa nchini right?

ni nani sasa, au ni kibaraka wa mabenyenye ya magharibi?

maana watu wa singinda hawana tabia za kuombaomba kuchangiwa pesa, ni watu wa bidii ya kazi ni watu wa kujitegemea kiuchumi.

kwahiyo huyo muungwana kiongozi sio omba omba kuchangiwa pesa?

Ni nani basi ili wadau wajue na kujifunza gentleman?

ni mtu wa makelele na mdomo tu, vitendo zero, right?🐒
 
Pole Sana mkuu inaonekana ubongo wako umejaza CHADEMA, bila kuwaongelea hutolala usingizi. Well that's good unawapa platform nzuri na watu kuipa attention. Endelea hivyohivyo master👊
 
Gentleman,
wakati kibaka kashindwa kuraise 30m tu ?🐒
Unamuita Lissu kibaka?! Wakati baba yako hana uwezo wa kufikia akili za Lissu. Shida yako unaokota habari kisha unazileta hapa bila kuchuja. 30M kwa CDM ni fedha ndogo sana.
 
Kifungu gani? Hivi wewe uwezo wa akili yako upo vipi?
usiniambie kweli hufahamu sheria na kanuni za ukomo wa gharama za Uchaguzi gentleman,

iko hivi,
kwa ujumla chama cha siasa kinafaa kutumia gharama isiyozidi billion 17.

Gharama za Uchaguzi anazopaswa kutumia mathalani mgombea urasi katika kipindi cha uteuzi ni 3B, na katika uchaguzi wenyewe sasa baada ya uteuzi anafaa kutumia si zaidi ya 6B. n.k

kinyume na hapo ni kuvunja kanuni za uchuguzi na adhabu yake ni pamoja na faini 🐒
 
Unamuita Lissu kibaka?! Wakati baba yako hana uwezo wa kufikia akili za Lissu. Shida yako unaokota habari kisha unazileta hapa bila kuchuja. 30M kwa CDM ni fedha ndogo sana.
Gentleman,
mtu ambae anaendekeza kuombaomba kuchangiwa pesa za pocket money, Lakini pia mtu anaechochea watu kupoteza haki na uhuru wao wa kupiga kura,

definitely,
huyo ni wazi kabisa ni kibaka na tapeli wa kisiasa.
Anafaa kuepukwa kama ukoma kupuuzwa tu 🐒
 
kwamba muungwana sio kibaka wala tapeli wa siasa nchini right?

ni nani sasa, au ni kibaraka wa mabenyenye ya magharibi?

maana watu wa singinda hawana tabia za kuombaomba kuchangiwa pesa, ni watu wa bidii ya kazi ni watu wa kujitegemea kiuchumi.

kwahiyo huyo muungwana kiongozi sio omba omba kuchangiwa pesa?

Ni nani basi ili wadau wajue na kujifunza gentleman?

ni mtu wa makelele na mdomo tu, vitendo zero, right?🐒
Linachangiwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume itakuwa Chadema? 😂😂😂
 
JPM na Lissu wanatabia za kufanana.

Sema mmoja aliaamini katika matendo na matokeo yanayoonekana.

Mwinginwe anaamini katika maneno.
Kutwa nzima tuongee na kupiga domo.
Mimi nilikuwa simtaki kwa kweli ila imebidi nikubaliane na hali tu! Lissu siyo kiongozi huyo ni mwanaharakati na tabia za wanaharakati siki zote huwa ni kuropoka bila kupima madhara ya maneno yao. Kama CHADEMA wataleta hii takataka kwenye urais basi bora Suluhu iendelee tu!
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom